Shakira kutumbuiza  mjini Istanbul

Nyota wa kimataifa wa muziki kutumbuiza mjini Istanbul

Shakira kutumbuiza  mjini Istanbul

Nyota wa kimataifa wa muziki  anaefahamika kwa jina la Shakiri  anatarajiwa kutumbuiza na kuwasuuza nyoyo wapenzi wa muziki  nchini Uturuki  Jumatano Julai 11 mjini Istanbul.

Shakira Isabel Mebarak Ripoll mwenye umri wa miaka 41 alijipatia umashuhuri katika sanaa ya muziki  kwa miondoko yake ya kipekee  mwanzoni mwa miaka ya 2010 .

Album  yake ya kwanza akishirikiana na Magia  pamoja na  Peligro   miaka ya 1990  haikufanya vizuri katika soko la muziki.

Baada ya miaka kadhaa kupita Shakira alijipatia umashuhuri na  wimbo wake “Whenever, wherever."Habari Zinazohusiana