Kanuni za kimataifa za elimu
Kutoka katika chuo kikuu cha Ankara Yıldırım Beyazit , kitivo cha siasa Daktari Kudret BÜLBÜL anatufafanulia

Wiki chache zilizopita katika makala yetu tuliweza kuona kwama elimu yenye ubora na ambayo haina ubora zote zina tabia za kuathiriana, Elimu inayotolewa katika nchi zingine kwa namna moja au nyingine inatuathiri sisi pia,Kwa sababu hiyo basi elimu itayotolewa katika familia za watu inapaswa kuwa na misingi ya kijumla inayofanana tulionyesha hivyo.
Baada ya kuangalia hali ya dunia, kwa mtazamo huo misingi mikuu miwili ya elimu ni haki swa katika kutoa au kupata elimu na kwamba sio kila kitu ni kibaya. Kwanza tuliangalia falsafa ya elimu inayolenga kuwaelimisha watu ambao wanaangalia kila kitu kwa mashaka mashaka.
Sasa tuendelee tulipoishia.
Mkuu wa kitivo cha elimu ya siyasa chuo kikuu cha Yildirim Beyazit Ankara, BÜLBÜL anajadili katika makala haya...
3) Elimu ambayo itakuza watu katika misingi ya tabia njema
Toplumsal yaşamı mümkün kılan insanların ilkeli davranacaklarına, genel ahlak kurallarına uyacaklarına dair kabullerdir. Hayatı yaşanabilir yapan bireylerin bu ilkelere
Inakubalika kwamba watu wanaoishi vizuri na jamii ni wale ambao wanajali misingi ya utu na kutii kanuni za tabia njema kwa ujumla. Kanuni hizi ambazo zinawezesha maisha ya kijamii yawezekane kila mtu inabidi azitii na kuzifuata.
Kutoiba mali ya mtu mwingine, kutoshambulia watu wengine, kutopatikana katika matendo maovu, kutosema uongo ni katika ni katika kanuni hizo. Sasa embu tufikiria mfano siku moja ghafla tu tumeamka asubuhi tunataka kutoka manyumbani kwetu wakati kanuni hizi hazipo tena. Je tutatoka ?
Kama tukitoka mtu wa kwanza tu tutakaye kutana naye hatuna uhakika kama hatatushambulia tutawezaje kutoka ? Kama muda wote tuna mashaka kwamba watu tunaokutana nao mtaani watatupora kila kitu tulichokuwa nacho tutawezaje kutoka ?
Kama kila mtu anajihusisha na vitendo viovu, Hakuna mtu anyetaka kujipatia kipato kwa njia ya halali, kama kila mtu anataka ajipatia kipato kwa dhulma, na mifano mingi kama hio. Katika mazingira kama hayo je maisha ya kijamii yatawezekana ?
Katika kanuni za msingi za mwanzo kabisa za Elimu ni kuweza kuwalea watu wenye kutii misingi ya ujumla ya tabia njema katika jamii zao. Kuifafanua hii misingi sio kitu kigumu.
Katika tamaduni tofauti tofauti kwa ujumla misingi hii haibabadiliki. Yaani inakubalika kila sehemu.
4 Elimu ambayo inafundisha siku mbili tofauti hazifanani, inayofundisha pia kufanya kazi
Kanuni zifuatazo za Elimu ni kanuni ambazo zinahusu vinavyopatikana katika elimu na njia zitazotumika kuelimisha. Kanuni tatu ambazo zimezungumziwa hapo juu ( haki sawa, Mtazamo chanya pamoja na kuegemea kwenye tabia njema) zinahusu kila aina na kila daraja la elimu yaani elimu zote inabidi ziwe zimejengwa katika misingi hiyo mitatu hapo juu. Elimu ambazo hazijajengwa katika misingi hiyo mitatu matokeo yake ni kuweza kuwaweka watu katika hatari kubwa.
Vita vya kidunia ambavyo hupeleka utu katika majanga, mashambulizi ya kigaidi, Kuta ndefu zinazopandishwa kila mara kwa ajili ya ulinzi.
Uvumbuzi kwa ajili ya kutokomeza baadhi ya watu wengine sio vitu vinavyofanywa na watu ambao hawana elimu, ni vitu vinavyofanywa na watu wenye elimu kubwa wanaonekana wamefanikiwa kwenye elimu.
Vitu vyote hivyo sio vitu vinavyoweza kuletwa na elimu ndogo, isipokuwa elimu ndio inayowaletea watu uonevu ,vilio na machungu.
Misingi hii ya elimu sio tu ilindwe katika ngazi ya familia bali katika ngazi zote za elimu na katika fani zote za elimu.
Katika hili mtume wetu Muhamad anasema “najilinda kwa mwenyezi Mungu na elimu ambayo haina manufaa” Ni maneno ambayo yana nguvu sana katika kuwaelekeza watu katika tabia njema.
Tanbihi: hakusema ambayo yenye madhara, bali hata ambayo haina manufaa mwenyeziMungu amuepushe nayo.
Turejee katika mpangilio… kafanya kazi na upata faida katika kazi mpya tunazofanya ni baada ya juhudi tulizoenesha tukiwa na malengo ya mafaanikio. Moyo tunaotoa ni kwa ajili ya maisha yetu ya kila siku na kuwapa motisha walionyuma yetu.
Mfumo wa maisha ambao unaambatana na uvivu au mfumo tegemezi pbila ya kutumia nguvu zetu bila shaka mfumo huo hufanya jamii kuzidi kudidimia katika kila ambo na kushindwa kujimudu. Kufutaia jambo hilo mwalimu aua anetoa fundisho antakiwa kuwafunza wanafunzi wake kuwakila anachofunddisha basi kina umuhimu na kinatakiwa kuheshimiwa kikamilifu, kuhimiza kazi na kazi yenyewe kama kazi ni kitu ambacho thamani yake haina kifani.
5) Mafunzo tofauti , yasiokuwa una ufanano na utofauti kulinga na uwezo na ufahamu tofauti wa watu tofauti
Mfumo wa mafunzo kwa jumla na mfanano umeenea ulimwenguni kote. Mfumo huo wa elimu umepelekea urahiisi kutokana na mfumo na mibnu zinazotumiwa kwa ajili ya manufaa ya watu wote.
Kwa wakayi huo huo, mbinu hiyo imeondoa utofauti uliokuepo katş ya watu. Tunafahamu kuwa sote ni tofuati.
Kama alivyosema Sheikh Galıp :
« Jipende na kujipa thamani ndio ulimwengu unavyotaka, binadamu ni kama mboni ya jicho ulimwenguni kiumbe »
Ulimwengu ao dunia haiwezi kumpa kila mwanadamu kitu kimoja, ulimwengu unatoa fursa na kumpa kila mmoja wetu furs aya kuweza kuonesha uwezo wake na mchango wake. Mchango wake huo lazima uwe na manufaa kwake na jamii pia.
6) Mafunzo yanayokwenda sambamba na masha ya kila siku
Katik a mbinu na mafunzo ya kştamaduni au kiasili, binadamu walikuwa wakifunzwa moja kwa moja katika kazi na mafunzo kutoka uongozi. Kwa sasa mafunzo na mashirika ya kutoa mafunzo yamekuwa katika utabibu ambao unaenda sambamba kwa mpangilio.
Jambo aambalo tunashudia kwa sasa ni kwamba mfumo huo hauendi sambamba na maisha tulioa nayo tunasoma na kuacha tulichosoma bilka ya kuwa na mchango katika maisha.
Mafunzo ni kile ambacho hua kinabaki baada ya kusahau tuliojifunza tukiwa shuleni alisema Einstein. Kama malengo ya mafunzo na masomo ni kumtaarisha mtu katika maisha, mafunzo hayo sio tu yatolewe shuleni.
Shule zinatakiwa kuwa na ushirikiano na mashirika, taasisi za kiraia , vyuo vya mafunzo na taasisi nyingine ambazo watu au wanafunzi watajihusisha nazo karika wakati ujao.
7) Mafunzo ambayo sio ya khifadhi kichwani bali yanayoleta mjadala na kujşuliza maswali na kugundua vitu vipya
Masomo au elimu sio juhudi ambazo zinalengo wakati uliopita bali wakati ujao. Ndio tanatakiwa pia kujifunza yaliotokea katika historia, ila yote tutakayo kuwa tumejifunza yawe na umhuimu katika wakati ujao na kuzidi kusonga mbele.
Mafunzo au elimu ambayo inatulazimisha kuhifadhi katika vichwa vyetu bla ya kuelewa haina umuhimu wowote ule katika maşsha yetu na wakati ujao.
Binadamu hujitambua kwa kujşuliza na kufikiria ni kpi kinahohitajika. Elimu inatakiwa kuwa na mchango wakati ambapo mtu anataka kujitambua.
Tunaweza pia kuzungumzia kuhusu mbinu za elimu ambzo hulenga jamii na sekta nyingine ambazo zinaongozwa na kusimamiwa na serikali, katika hali kama hiyo, taasisi hizo zinatakiwa kuchukuwa mbinu hizo kama mfumo wa elimu.
Jambo hilo tutalijadili katika makala yetu ijayo.
Ndio tunafahamu kuwa mbinu zinaweza kuongezela, ila kutakuwa na ugumu wa kuzungumzia mbinu zote katika makala hiyo. Kwa wale ambao watakuwa wanataraji kufutilia kwa ndani zaidi wanweza kusoma utafiti niliofanya “Ujana upi katika wakati tulionao”
Bila shaka, kuwa na eleimu bora yenye manufaa ni jambo la kupongezwa na jambo muhşmu. Hatufahamu ni wapi mtu asiekuwa na ujuzi aedha elimu ni wapi anapoweza kufikia.
Iwapo kutakuwa haukna athari za elimu tuliopewa . Frankenstein tutakuwa tume tumeingia katika njia ambayo ni ya mafunzo.
Wale ambao kwas asa wanawashambulia wenzao waliosoma pamoja kwa risasi, kwa kuwapa sumu katika chakula na maovu mengine mengi na kuufanya ulimwengu kuendelea kuwa katika majanga kila kukicha sio eti hawafahamu wanachofanya.
Ni watu ambao walipata elimu na mafunzo bora bali hawana ubinadamu na kukenaishwa na elimu waliopewa kwa namufaa ya jamii na ulimwengu mzima.
Mkuu wa kitivo cha elimu ya siyasa chuo kikuu cha Yildirim Beyazit Ankara, BÜLBÜL