Jiji Antalya katika nafasi ya tatu ulimwenguni kwa kupokea watalii ulimwenguni

Jiji Antalya katika nafasi ya tatu ulimwenguni kwa kupokea watalii ulimwenguni

Jiji Antalya katika nafasi ya tatu ulimwenguni kwa kupokea watalii ulimwenguni

Kulingana na taarifa zilzolewa na meya wa jiji la Antalya Uturuki Mendere Tünel, jiji la Antalya  limeorodheshwa,  katika orodha ya miji ambayo imepokea şdadi kubwa ya watalii ulmwenguni.

Katika orodha hiyo  Antalya imeshika nafasi ya 3.

Katika nafasi hiyo ya tatu, Antalya imekuwa sambamba na jiji la New York. Meya wa Antalya  amesema kuwa anayo matumaini kuwa jiji la Antalya litapiku jiji la Paris na London katika wakati mfupi ujao.Habari Zinazohusiana