Rais Putin kushiriki katika uzinduzi wa kituo cha nguvu za nyuklia Misri

Rais wa Urusi Vladimir Putin atashiriki katika uzinduzi wa kituo cha nguvu za nyuklia cha El Dabaa nchini Misri

Rais Putin kushiriki katika uzinduzi wa kituo cha nguvu za nyuklia Misri

Rais wa Urusi Vladimir Putin atashiriki katika uzinduzi wa kituo cha nguvu za nyuklia cha El Dabaa nchini Misri

Rais wa Urusi atashiriki katika hafla itakayoandaliwa kwa ajili ya uzinduzi wa kituo cha nyuklia cha el Dabaa nchini Misri, kama ilivyofahamishwa na waziri wa umeme na nishati ya kurejelezwa  Mohamed Chaker.

Waziri huyo amefahamisha kuwa  makubaliano na Urusi  kuhusu mradi huo uliofaanikiwa tayari  yamekwisha.

Mohamed Chaker amesema kuwa  hafla kubwa  kwa ajili uzinduzi wa kituo hicho cha nyuklia itaandaliwa kabla  ya mwaka 2017 kumalizika.

Kituo cha el Dabaa Magharibi mwa Misri  kitatumika kwa ajili ya kuzalisha umeme.

Tagi: Urusi , Misri

Habari Zinazohusiana