Muhammed Hakan Nayiş, Einstein wa Uturuki

Muhammed Hakan Nayiş mtoto wenye umri mdogo darasani afananishwa na Albert Einstein

Muhammed Hakan Nayiş, Einstein wa Uturuki

 

Muhammed Hakan Nayiş ni mtoto anaeishi mjini İzmir nchini Uturuki ambae amefafanishwa na umri wake mdogo na Albert Einstein.

Mtoto huyo alijifunza kuoma na kuandika akiwa na umri wa miaka miwili leo yupo darasani wanafunzi wenzake waliomzidi umri.

Muhammed Hakan anazo ndoto za kkusoma na kuzamilia katika uhandisi, ujenzi, sayansi ya anga na udakatari.

Mtoto huyo alisema kuwa anataraji kufanya kazi katika kituo cha utafiti wa anga cha NASA na kusema kuwa anafurahishwa mno na utafiti wa anga. Amesema kuwa tayari amekwisha taarisha kitabu kinacho zungumzia anga na ataraji kuwa wenzake watapenda kwa kuwa kinazungumzia anga kwa ramani.

 Habari Zinazohusiana