Matumaini kutoka kwa wanasanyi wa Uturuki

Muathirika wa saratani apona baada ya matibabu na utafiti wa madakatari wawili wa Uturuki nchini Ujerumani

Matumaini kutoka kwa wanasanyi wa Uturuki

Profesa Daktari Uğur Şahin  na mkewe Bi  Özlem Türeci  wamekuwa matumanini makubwa ulimwenguni kwa utafiti wao wa mika mingi  nchini Ujerumani .

Utafiti wao  katila mapambono dhidi ya saratani  umeonesha matumaini baada ya waathirika 13 wa saratani waliokuwa katika hali ya kuathirika kwa kiasi kikubwa, mgonjwa mmoja miongoni mwa wagonjwa ameoneka kutokuwa na  saratani baada ya kupewa matibabu.

 Habari Zinazohusiana