Soyuz yarejea ardhini

Soyuz yarejea ardhini

Soyuz yarejea ardhini

Soyuz katika  teknolojia ya anga imerejea ardhini na kutua katika mji wa Jezkazgan w nchini Uzbekistani
Taarifa zilizotolewa na  kituo cha habari cha Urusi cha ROSCOSMOS zimefahamisha kuwa  wanaanga  kutoka Marekani, Urusi na Japani wamerejea ardhini baada ya utafiti wao angani uliochukuwa muda wa siku 168.
Scott Tingle, Norishige Kanali na Anton Shkaplerov  ndio wana anga waliokuwa katika Soyuz.


Tagi: anga , soyuz

Habari Zinazohusiana