Uturuki kuanza uzalishaji wa vifaru aina ya Altay

Uturuki kuanza uzalishaji wa vifaru aina ya Altay

Uturuki kuanza uzalishaji wa vifaru aina ya Altay

Uongozi wa viwanda vya vifaa vya ulinzi BMC umesaini  makubaliano ya kuzalisha  vşfaru aina ya Altay. Katika mradi huo, vifaru 250 Altay  vinatarajiwa kutengenezwa na shirika hilo.

İsmail Demir,  mkurugenzi wa kiwanda hicho  amesema kuwa muda wa kutekelezwa mradi huo  tayari  umekwishazungumziwa.

Tagi: BMC , Altay , Uturuki

Habari Zinazohusiana