Helikopta « Made In Turkey » zavutia soko la nje

Waziri wa ulinzi wa Uturuki asema kuwa helikopta zinazotenegenezwa na Uturuki ATAK zavutia soko la nje

Helikopta « Made In Turkey » zavutia soko la nje

Hulusi Akar , waziri wa ulinzi wa Uturuki asema kuwa helikopta za jeshi aina ya ATAK zinazotenegenezwa nchini Uturuki zivutia katika soko la nje.

Hulusi Akar amepongeza hatua iliofikiwa na Uturuki katika sekta y teknolojia na utenegenezaji wa vifaa vya ulinzi.

Katika mkutano uliofanyika mjini Ankara na shirikisho la nguvu ambapo wahudumu wa bidhaa hizo  2000 wameshiriki, waziri wa ulinzi wa Uturuki  amezungumza kuhusu hatua kubwa iliopigwa katika  teknolojia  katika viwanda vya Uturuki.

Uturuki imesaini makubaliano na Pakistani kuhusu  mashua  Milgen, Qatar kuhusu makaombora Firtina na Ukraina kuhusu  mauzo ya ndege zisizokuwa na rubani ambazo ni za kisasa na toleo  jipya.

Mashirika  na  makampuni ya Uturuki  yamiengia miongoni mwa makampuni  bora  100 ulimwenguni.

Bajeti  katika sekta ya viwanda  na vifaa vya anga  na ulinzi  mwaka 2018 ilikuwa dola bilioni 2,5 kwa mara yake ya kwanza.Habari Zinazohusiana