Ulimwengu wa uchumi

Ulimwengu wa uchumi

Ulimwengu wa uchumi

Uwekezaji  ni jambo ambalo lina umuhimu mkubwa ambao unapewa nafasi ya kwanza katika uimarishaji wa uchumi. Kitendo hicho kinapelekea  kwa kiasi kikubwa  kuhifadhi kiwango cha pesa  kwa munufaa ya taifa. Kila taifa ulimwenguni lina hitaji pesa ili kuwekeza  katika lengo la kufikia malengo yake.

Uchumi huimarika wakati ambapo uwezekaziji  katika vitendo vilivyowekewa kipaumbele vinapewa umuhimu wa hali ya juu.

Kama itaoneka kuwa hakuna mitaji mikubwa ili kufifiza  hasara ambayo itajitokeza, basi bila shaka  ukuwaji wa uchumi na uimarikaji wake utapungua kwa kiasi kikubwa.

Kufauti kitendo hicho pia uwekezaji utapungua.

Kila taifa linalo lengo  au malengo muhimu katika maendeleo yake  kufikia hatua isitetereka. Hatua hizo  hulifanya taifa kuona umuhimu wa kuvutia wawekezaji wa kigeni katika mitaji mikubwa.

Kwa mfano mwaka 2016 kiwango cha pato la ndani kilifikia asilimia 28 katika uwekezaji, na uwekezaji kwa asilimia 24,6 mwaka huo hu 2016.

Uwekezaji wa moja kwa moja ni moja ya chagua muhimu kwa ajili ya soko la nje pia.

Uwekezaji ambao unachangiwa kwa kiasi kikubwa na  deni kutoka kwa wawekezajikutoka nje sio jambo la kushangaza  kuona kuwa uchumi wa taifa  kutegemea maendeleo yake katika sekta ya uchumi  kutoka nje.

Jambo hilo hupelekea uchumi  wa taifa kuwa na uraisi  wa kuyumbisha  uzalishaji wake  na kutokuwa na ushawishi ulimwenguni.

Uturuki katika kipindi cha miaka 15 iliopita  imeweza  kupongeza uwekezaji wake kwa kiasi ambacho  uturuki imekuwa ikijitegemea katika uchumi wake.

Ungezeko la uwekezaji katika  soko la ndani  na hatua ya kupunguza hasara ni kutokana na  uzalishaji wa  kutoa kipaumbele  kuingiza bidha mahitaji kutoka nje.

Ili kutatua matatizo yanayojitokeza katika  uwekezaji ni vema kuongeza juhudi na jştşhada  katika kuwekeza  ndani.

 

Ni vipi kuwekeza ?

Kutathimini kiwango cha uwekezaji  kunaendana na mashirika au mfumo  ambao una changia  katika maendeleo ya rais na taifa kwa ujumla.

Jambo hilo hupelekea uchumi kushamiri.  Kuwekwa katika mkakati katika miaka ya nyuma  kumeonesha ni kaisi gani uchumi umepewa kupambele na kuweza  kubadilisha hali ya uchumi. Mabadiliko makubwa katika maisha ya kila siku kwa raia.

Hali hiyo imepelekea kuongezeka kwa uwekezaji katika masoko na kuinua mitaji ya kitaifa.

Ili uchumi  uweze kufanyiwa marekebisho katika uzalishaji wake  kwa namna ya kuridhisha , kiwango cha uwekezaji kşnatakiwa kiwe na ungezeko pia la kuridhisha.

Mfumo mwingine wa kuongeza  malengo katika maendeleo ya uchumi na kuongeza uzalishaji katika masoko  ni moja ya miradi  ya  kitengo kinachohusika na uwekezaji mjini Istanbul.

Kitengo hicho  kwa sasa bado  kinaendela na utafiti.

Miradi ambayo inalenga kuondeshwa  kwa mabadiliko  katika kituo uwekezaji katika nyanja ya kimataifa.

Kunaonekana pia  mashirika ya nje kuvutiwa na mfumo huo  ambao kwa sasa hata taifa limegundua kuwa umuhimu wake ni mkubwa .Habari Zinazohusiana