Mauzo ya nje ya Mediterania yaongezeka

Mauzo ya nje ya Mediterania yaongezeka kutoka nchini Uturuki

Mauzo ya nje ya Mediterania yaongezeka

Mratibu wa Umoja wa mauaziji na wafanyabiashara wa Mediterania AKIB  kwa jina la Mahmut Arslan amefahamisha kuwa  mauzo ya nje  katika kipindi cha miezi 11 katika mwaka 2017 yameongezeka kwa kiwango cha asilimia 18,4 akilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka uliopita 2016.

Bilioni 10 na milioni 640 dola za kimarekani zimeongezeka.  Katika tangazo, Arslan amesema kuwa mauzo ya nje ya umoja huo  yanaonekana kuzidi kuongezeka  kila mwezi baada ya mwezi na kuwa na matumaini zaidi kuwa kiwango hicho kitazidi kuongezeka ifikapo mwaka 2018.Habari Zinazohusiana