Siasa na Uchumi

Uchimbaji na mafuta na gesi asilia katika Bahari ya Mediterania

Siasa na Uchumi

Katika miaka ya nyuma, eneo la Mediterania Mashariki  kumeonekana maendeleo makubwa na muhiimu katika upande wa nishati.

Mwaka 2009 kuligunduliwa mgodi muhimu wa gesi asilia katika zoezi la  uchimbaji wa  gesi na mafuta ulioendeshwa na mashirika ambayo yanahusika na  nishati kimatifa katika eneo hilo.

Mashirik ahayo katika hilo yaliwajibika  kikamlifu katika  eneo hilo Mediterania Mashariki.

Israel na mataifa mengine kama Misri , Libanon  na Cyprus yameongeza  juhudi zake  katika uchimbaji wa mafuta na matumizi yake katika eneo hilo la Mediterania Mashariki. Mataifa hayo yamekuwa na uwezo tofauti katika uendeshaji wa zoezi la uchimbaji mafuta na gesi asilia.

Mwaka 2010 Israel  na shirik ala  kiuchumi la MEB liligundua uwepo wa Leviathan, mwaka 2011 Cyprus aligundua pia Afrodit , mwaka 2015 Misir iligundua  na MEB iligundua Zohr, gesi asilia kwa ushirikiano na wizara ya elimu. Gesi hiyo ya Zohr inapatikana katika eneo ambalo kitaalamu limefahamishwa kuwa kisima cha gesi asilia. Migodi hiyo ambayo ina umuhimu mkubwa katika eneo hilo itapelekea mataifa hayo kunufaika kwa kiasi kikubwa  kwa mutumizi ambayo pia yatapelekea maendeleo.

Matunda  yatakayopatikana katika migodi hiyo ya gesi  asili ana  mafuta au nishati itakuwa pi ana manufaa kwa ulimwengu mzima. Soko la kimataifa litakuwa limepata  bidhaa mpya ambayo itazidi kuinua uchumi.. Gesi hiyo sio tu manufaa kwa mataifa hayo  bali kwa mataifa yote ambayo yataitaji kutumia kile ambacho kitakuwa kimepatikana.

Usafirisshwaji wa gesi hiyo itaitaji ushirikiano ambao utalazimu  mataifa yote kufaanikisha malengo. Usafirishwaji wake ni kwa lengo la kufikia soko la kimataifa. Matifa katika eneo hilo yanatakiwa kutumia fursa hiyo ambayo ni zawadi katika utatuzi wa tofauti zinajazojitokeza. Matatizo ya kisiasa yawekwe pembeni  licha ya kuwa na tatizo kubwa jumuiya ya kimataifa imeonesha kuwa  vizuizi vitazidi kujitokeza iwapo hakutafikiwa  maridhiano. Kutoka n ana ukgumu ambao unajitokeza katşka uppande wa mataifa ya  Mediterania Mashariki, ni moja ya matatizo ambyo yanachukuwa muda mrefu bila ya kuapatiwa ufumbuzi. Biashara ya gesi asilia kuelekea  Mediterania Mashariki  inaombwa kusibiri kwa muda kadhaa.

Mzozo wa Cyprus ni mzozo katika Uturuki na eneo hilo liliohguru katika bahari ya Mediterania licha ya  juhudi zinazoonekana. Wizara ya elimu  katika ukanda huo imeonesha kuwa  hali ya ya jumuiya ya kimataifa haifahamu hali halisi kutokana na uhaba wa taarifa kuhusu  uzoefu. Katika eneo hilo, Uongozi wa Ugiriki  umekiuka  makubalia na juhudi zilizokuepo  kuhusu Cyprus Kaskazini na kuonekana kuwa tatizo bado linaendelea na bado halijapatiwa ufumbuzi. Kufokana na hilo  Uturuki haujafumbia macho  hata mara moja  mwenendo wa uongozi wa Cyprus  ya Ugiriki. Uturuki imekaa kimya kwa juda mrefu na kutoa taarifa kuhusu matokea ya uchunguzi na utafiti  katika eneo hilo ambalo  ni muhimu katika eneo la Mediterania Mashariki.

Barbaros Hayrettin aliwasili pamoja na vifaa vyake vya utafiti katika ardhi  pamoja na mashua yake.

Baada ya kuwasili alianza rasmi kazi yake.

Uturuki itaendelea kuepo katika eneo hilo la Mediterenia  na jitihada katika sekta hiyo ya  nishati  na gesi asilia . Mfumo wa Uturuki  katika suala hilo  unasimamiwa na wizara ya inayohusika na madini na mali ya asili.  Kile ambacho kimeonekana kuwa  nguzu muhimu katika suala hilo  ni usalama na mkakati wa kusambaza tangu mwaka 2017 mwanzoni.

Barbaros Hayrettin alianza   kufanya utafiti katika ardhi kwa teknolojia ya hali ya juu katika uchimbaji. Kwa mara nyingine.  Katika kazi hiyo alifahamisha kuwa  muda  wa kuongeza juhudi na ufanisi umewadia Mediterenia.

Jambo muhimu kwa sasa ni  Uturuki  kuanza uchimbaji wa mradi wake wa treni ya chini ya ardhini Deepsea  chini ya maji Metro 2 Mediterania katika  uchimbaji wa gesi asili ana usafirishaji wake.

Hali hiyo kwa sasa imeanza  kuonesha ufanisi wake katika bahari ya mediterania .

Ifahamike kuwa Uturuki katika kipindi cha mwanzoni mwa mwaka 2018 itaanza kuchimba  katika Bahari ya Mediterenia.

Uturuki itaanza  shughuli zake  na kupelekea ufanisi wake mkubwa katika soko la ndani kwa muda mfupi na kwa matokea ya kuridhisha.  Maendeleo katika Mediterania Mashariki yatakuwa na umuhimu na manufaa ya kuvutia  kutokana na matokeo yake kwa muda mfupi katika wakati ambao  Uturuki ilikuwa ktika  ambao umekumbwa na madadiliko na mvutano na pia katika ukanda.

Uturuki ni taifa ambalo linapatikana na eneo ambalo  ni kama  mlango ulio na umuhimu na fursa nyingi kutokana na eneo iliopo. Ni jukumu lake kuwa na mwenendo wa kisiasa na kiuchumi uliostawi na mkamilifu. Jambo litarahisissha usafirishaji wa gesi katika mataifa ya ukanda wa Mediterania. 

Kazi za muendelezo katika mradi wa TANAP mingine zimekwenda kwa haraka.

 


Tagi: gesi , uchumi

Habari Zinazohusiana