Uchumi wa Uturuki katika miezi mitatu ya mwisho ya mwaka 2017 umeongezeka kwa asilimia 7

Waziri wa uchumi wa Uturuki Nihat Zeybekci asema kuwa uchumi wa Uturuki wakuwa kwa asilimia 7 mwishoni mwa mwaka 2017

Waziri wa uchumi wa Uturuki Nihat Zeybekci asema kuwa  uchumi wa Uturuki umekuwa  kwa kiasi cha  asilimia 7 katika kipindi cha miezi mitatu ya mwisho ya mwaka 2017.

Waziri wa uchumi wa Uturuk i  ameyazungumza hayo katika mkutano wa baraza la viwanda  mjini Istanbul.

Habari Zinazohusiana