Mauzo ya nje Uturuki yavunja rikodi  Septemba 2018

Uturuki  yavunja rikodi ya mauzo ya nje Septemba mwaka 2018

Mauzo ya nje Uturuki yavunja rikodi  Septemba 2018

 

Kiwango cha mauzo  ya nje  ya Uturuki kimnefikia  dola bilioni 165,1 asema waziri wa biashara wa Uturuki Ruhsar Pekcan.

Kiwango cha mauzo ya nje Uturuki kimefikia dola bilioni 14,5 Septemba 2018 , ikiwa  kiwango ambacho kimevunja rikodi katika mauzo ya nje.

Hayo waziri biashara wa Uturuki ameyafahamisha katika mkutano  uliofanyika Jumatatu  Oktoba 1  mjini Ankara. 

Katika mkutano huo, waziri wa biashara amezungumzia kuhusu mauzo ya nje na ushirikiano katika sekta hiyo.Habari Zinazohusiana