Leo katika magazeti ya Uturuki

Leo katika magazeti ya Uturuki

Leo katika magazeti ya Uturuki

Yeni Şafak: “Marekani  iache kuhalalisha kundi la kigaidi »

Msemaji wa ikulu ya rais mjini Ankara Ibrahim Kalın afahamisha kuwa  seriakli ya Marekani inatakiwa kuacha kuhalalisha kundi la kigaidi. Msemaji wa rais amesema katika ujumbe wake alioatoa katika ukurasa wake wa Twitter kuwa Marekani inataikiwa kuacha kuhalalisha kundi la kigaidi.  Uturuki inatuhumu kundi la YPG kuwa tawi la kundi la kigaidi la PKK.

Sabah: “Mwanahabari wa Uingereza ajihisi salama Uturuki kuliko London »

Ripota wa shirika la habari la Uingereza la BBC Michael Buerk ajihisi salama Uturuki kuliko UingerezaRipota wa shirika la habari la Uingereza la BBC amefahamisha kuwa anajihisi salama napokuwa nchini Uturuki kuliko anapo kuwa nchini Uingereza.Michael amewatolea wito wapenzi wa safari kutembelea Uturuki.Mwanahabari huyo  ameongea na ripota wa Michael Buerk  kutoka shirika la habari la Doğan katika kongamano la London Boat Show 2017 kuwa amefanya safari kwa muda wa miaka 25 Göçek.Muandishi huyo wa habari amefahamisha kuwa hana hofu na matendo ya ugaidi yaliotokea nchini Uturuki. Alisema kuwa ugaidi upo hata nchini Uingereza.Buerk alifahamisha kuwa Uingereza inapamba na kundi la kigaidi la IRA, al Qaida na Daesh.

Vatan: "Shirika la ndege la THY limesafirisha abiria milioni 62.8 mwaka 2016"

Shirika la ndege la Uturuki la Turkish Airlines THY lafahamisha kuwa mnamo mwaka 2016 limesafirisha abiria takriban milioni 62,8. Kiwango hicho kikmefahamishwa  kuwa kimeongzeka kwa kiasi cha asilmia 2,5 ikilinganishwa na mwaka 2015.

Shrikia hilo la ndege la Uturuki limetoa ripoti hiyo ya mwaka ambayo imeanzia Januari mwaka 2016 hadi Disemba 2016.

Data  kuhusu wasafiri zimeonesha kuwa watu milioni61,2  walisafri kwa kutumia ndege za shirika la THY mwaka 2015 na kuongezeka milioin 62,8.Shirika la ndege la THY mnamo mwaka 2015 lilikuwa likimiliki ndege 299 na sasa linamiliki ndege 334.

 

 Habari Zinazohusiana