Shirika la ndege la THY limesafirisha abiria milioni 62.8 mwaka 2016

Shirika la ndege la THY limesafirisha abiria milioni 62.8 mwaka 2016

Shirika la ndege la THY limesafirisha abiria milioni 62.8 mwaka 2016

Shirika la ndege la Uturuki la Turkish Airlines THY lafahamisha kuwa mnamo mwaka 2016 limesafirisha abiria takriban milioni 62,8. Kiwango hicho kikmefahamishwa  kuwa kimeongzeka kwa kiasi cha asilmia 2,5 ikilinganishwa na mwaka 2015.

Shrikia hilo la ndege la Uturuki limetoa ripoti hiyo ya mwaka ambayo imeanzia Januari mwaka 2016 hadi Disemba 2016.

Data  kuhusu wasafiri zimeonesha kuwa watu milioni61,2  walisafri kwa kutumia ndege za shirika la THY mwaka 2015 na kuongezeka milioin 62,8.

Shirika la ndege la THY mnamo mwaka 2015 lilikuwa likimiliki ndege 299 na sasa linamiliki ndege 334.Habari Zinazohusiana