Uturuki yakaribisha wawekezaji zaidi kutoka Korea Kusini

Waziri Mkuu wa Uturuki Binali Yildirim amezidi kuwaalika wawekezaji kutoka Korea Kusini kuwekeza nchini Uturuki.

Uturuki yakaribisha wawekezaji zaidi kutoka Korea Kusini

Waziri Mkuu wa Uturuki Binali Yildirim amezidi kuwaalika wawekezaji kutoka Korea Kusini kuwekeza nchini Uturuki.

Waziri Yildirim amesema anatumai mahusiano kati ya nchi hizo yatazidi kudumishwa zaidi.

Kwa mujibu wa habari,Uturuki na Korea Kusini sasa zitasaini mikataba ya kufanya miradi mingi ya pamoja.

Waziri huyo vilevile ameisifu Korea Kusini kwa kuwa nchi yenye maendeleo kwani kila mtu nchini humo ana uwezo wa kupata kipato cha $30,000. 

Uturuki nayo ni kati ya nchi zenye kukua kwa kasi kiuchumi na imechukua nafasi ya 13 kati ya mataifa ya G20.

 Habari Zinazohusiana