Wito wa rais Erdoğan kwa wawekezaji Uturuki

Wawekezaji nchini Uturuki watolewa wito kutetea uchumi wa taifa

Wito wa rais Erdoğan kwa wawekezaji Uturuki

 

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan awatolea wito  wawekezaji nchini Uturuki kusimama kidete kutetea maslahi ya taifa katika sekta ya uchumi.

Rais Erdoğan amezungumzi umuhimu wa uchumi wa taifa kupitia ushirikiano na wawekezaji wa Uturuki.

Wito huo rais wa Uturuki aliyazungumza katika hotuba yake aliotoa katika makao makuu ya chama cha AK mjini Ankara.

Katika hotuba yake hiyo rais Erdoğan amesema kuwa  kuna baadhi ya watu wanataka  kudhoofisha uchumi wa Uturuki kwa kutumia mbinu tofauti huku akiwazindua wawekezaji kuwa makini katika kulinda uchumi.

Rais Erdoğan amesema kuwa mshirika ya biashara ya Uturuki yaliopo nchini yale yalioko nje yataendelea kazi zake katika mfumo wa kimatifa uliopo.

Rais amesema kuwa wale ambao wana ushirikiano na kundi la FETÖ na kundi la wanamgambo wa PKK wanaopeleka mali zao ugenini ni wasaliti.Habari Zinazohusiana