Mkutano wa pili kati ya Uturuki na Afrika

Mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa Afrika na Uturuki waanza mjini Istanbul nchini Uturuki

Mkutano wa pili kati ya Uturuki na Afrika

 

Mkutano wa pili baina ya mawaziri wa mambo ya nje wa mataifa ya bara la Afrika na waziri wa mambo ya nje ya Uturuki waanza mjini Istanbul .

Mkutano huo  umeanza mapema Jumatatu mjini Istanbul ambapo wawakilishi kutoka mataifa 19 barani Afrika wamekwisha wasili kwa lengo la kushiriki katika mkutano huo.

Mkutano huo umeandaliwa  kwa ushirikiana baina ya wizara ya  mambo ya nje ya Uturuki na tume ya Umoja wa Afrika.

Mkutano huo unafanyika baada ya makubalia baina ya Uturuki naAfrika  yaliofanyika Novemba mwaka 2014 katika mkutano wake mjini Malabo nchini Guinea.

Mkutano huo umeandaliwa kwa lengo kuzungumza kuhusu hatua zilizofikiwa katia ushirikiano.Habari Zinazohusiana