Ziara ya waziri mkuu wa Macedonia nchini Uturuki

Waziri mkuu wa Macedonia Zoran Zaev amefanya ziara rasmi nchini Uturuki.

Ziara ya waziri mkuu wa Macedonia nchini Uturuki

Waziri mkuu wa Macedonia Zoran Zaev amefanya ziara rasmi nchini Uturuki.

Zoran Zaev amepokelewa na waziri mkuu wa Uturuki Binali Yıldırım,Çankaya mjini Ankara.

Kwa mujibu wa habari,kabla ya kuanza kwa mazungumzo baina yao,mimbo ya taifa ya nchi hizo mbili iliimbwa.

Naibu waziri mkuu wa Uturuki Hakan Çavuşoğlu pia alikuwepo katika hafla hiyo.Habari Zinazohusiana