Rais Erdoğan amaliza mkutano wa kiuchumi uliofanyika ikulu

Rais Erdoğan amefanya mkutano wa kiucuhumi uliofanyika katika ikulu mjini Ankara.

Rais Erdoğan amaliza mkutano wa kiuchumi uliofanyika ikulu

Rais Erdoğan amefanya mkutano wa kiucuhumi uliofanyika katika ikulu mjini Ankara.

Mkutano huo umefanyika kwamuda wa masaa mawili na dakika thelathini na tano.

Baada ya kufanya mkutano wa kila wiki na waziri mkuu Binali Yıldırım,rais Erdoğan amekutana pia na uongozi wa masuala ya uchumi nhini humo.

Kati ya masuala yaliyozungumziwa ni na usawa katika uagizaji na usafirishaji wa bidhaa nje ya nchi,ajira na uwekezaji katika viwanda na vilevile fedha za kigeni.Habari Zinazohusiana