Waziri wa uchumi wa Uturuki asema kuwa ushirikiano katika sekta ya uchumi na Iran utaendelea

Waziri wa uchumi wa Uturuki Nihat Zeybekçi asema kuwa Uturuki itaendelea ushirikiano katika sekta ya uchumi na Iran

Waziri wa uchumi wa Uturuki asema kuwa ushirikiano katika sekta ya uchumi na Iran utaendelea

Nihat Zeybekçi, waziri wa uchumi wa Uturuki asema kwamba Uturuki itaendelea ushirikiano katika sekta ya uchumi na Iran. Kwa mujibu wa waziri wa uchumi wa Uturuki uamuzi uliochukuliwa na Marekani kujiondoa katika mkataba wa nyuklia  uliosainiwa na Iran  inaweza kuwa ni fursa kwa Uturuki  kuimarisha ushirikinao wake na Iran katika sekta ya uchumi. 

Uturuki itaendelea itaendelea kushirikiana na Iran katika sekta ya uchumi kulingana na sheria za  Umoja wa Mataifa licha ya Marekani kutangaza kujiondoa katika  mkaataba wa nyuklia na Iran.

Waziri wa uchumi wa Uturuki Nihat Zeybakçi ameyazungumza hayo katşka mahojiano aliofanya katika  ofisi za kituo cha habari cha Anadolu.

Katika mahojiano hayo, waziri wa uchumi wa Uturuki alizungumzia hali ya uchumi wa Uturuki na  maendeleo katika soko la kimataifa.

 

 Habari Zinazohusiana