Ujumbe wa Ramadhan kutoka kwa rais Erdoğan

Rais Erdoğan ametuma video yenye ujumbe mzuri wa mwezi mtukufu wa Ramadhan.

Ujumbe wa Ramadhan kutoka kwa rais Erdoğan

Rais Erdoğan ametuma video yenye ujumbe mzuri wa mwezi mtukufu wa Ramadhan.

Rais Erdoğan ambae alikuwa katika ziara  rasmi nchini Uingereza,amekula daku yake ya kwanza na mkewe wakiwa katika ndege wakirudi nchini Uturuki.

Amewatakia watu wote Ramadhan njema na kuwaombea wale wote waliopoteza maisha katika mashambulizi Gaza.

"Mungu awalaze pema peponi wapalestina wote waliouawa na jeshi la Israel",alisema rais Erdoğan.

Vilevile ameomba dua nzuri akiitakia nchi yake kufanya uchaguzi wa amani 24 mwezi Juni.Habari Zinazohusiana