Rais Erdoğan atolea wito baadhi ya mataifa kuacha undumila kuwili katika kupambana na ugaidi

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan atolea wito baadhi ya mataifa kuacha undumila kuwili katika mapambano dhidi ya ugaidi

Rais Erdoğan atolea wito baadhi ya mataifa  kuacha undumila kuwili katika kupambana na ugaidi

Rais wa Uturuki ametolea wito baadhi ya mataifa  kuacha undumilima kuwili katika harakati za kupambana na ugaidi . Wito huo rais wa Uturuki ameutoa akiwa na mlo wa jioni uliotaarishwa katika makao makuu ya chama tawala  mjini Ankara. 

Katika halfa hiyo mabalozi na wanadiplomasia waliarifiwa katika na uongozi wa chama cha AK.

Rais Erdoğan katika hotuba yake ametolea wito baadhi ya mataifa kuacha undumila kuwili katika juhudi na harakati za kupambana na ugaidi.

Uturuki inaendelea na mapambano yake dhidi ya ugaidi wa kundi la PKK na makundi mengine kama PYD/YPG na kundi la wanamagmbo wa Daesh. Vile vile Uturuki inakabiliana na kundi la wahaini wa FETÖ. Rais Erdoğan amesema kuwa anasikitishwa kuona kuwa baadhi ya mataifa  yanaonesha undumila kuwili katika juhudi za kupambana na ugaidi.

Rais Erdoğan amesema kuwa  kuna umuhimu mkubwa kushirikiana katika kupambana na ugaidi  akisema kuwa hakuna tofauti baina ya  makundi ya kigaidi.

Rais wa Uturuki amesema kuwa baadhi ya mataifa barani Ulaya imekuwa hifadhi ya magaidi  baada ya kufanya mauaji.

 

 

 Habari Zinazohusiana