Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki ampongeza Lavrov

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Mevlüt Çavuşoğlu ampongeza Serguy Lavrov kwa kuteuliwa kuendelea na wadhifa wake

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki ampongeza Lavrov

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Mevlüt Çavuğoğlu  ampigia simu waziri wa mambo ya nje wa Urusi Serguy Lavrov na kumpongeza kuteuliwa kwa mara nyingine kuwa  waziri wa mambo ya nje wa Urusi.

Taarifa hiyo imetolewa mapema Jumanne kuhusu maongezi baina ya waziri wa mambo ya nje wa Uturuki waziri wa mambo ya nje wa Urusi ambae ameteuliwa kwa mara nyingine.

 Habari Zinazohusiana