Rais wa Uturuki akiwa katika ziara mkoani Erzurum

Rais wa Uturuki Rece Tayyıp Erdoğan akiwa katika ziara yake rasmi mkoani Erzurum asema kuwa magaidi zaisi 4 475 wamekwishaangamizwa kufuatia operesheni ya Tawi la Mzaituni Syria

Rais wa Uturuki akiwa katika ziara mkoani Erzurum

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan azungumzia mapambano dhidi ya ugaidi akiwa mkoani Erzurum kuwa magaidi zaidi ya 4475 waliangamizwa na jeshi la Uturuki katika operesheni ya Tawi la Mzaituni n chini Syria.

Jeshi la Uturuki lilianza rasmi operesheni ya Tawi la Mzaituni kwa lengo la kuwaondoa magaidi katika mipaka ya Uturuki na kuhakikisha kuwa jimbo la Afrin linaondolewa na vitisho vya makundi ya kigaidi.

Rais Erdoğan akatika kampeni mkoani humo amesema kuwa magaidi 4475 wameanagamizwa na jeshi la Uturuki katika operesheni yake ya Tawi la Mzaituni.

Magaidi 414 wameangamizwa Irak Kaskazibi na Uturuki.

Rais Erdoğan amekemea mwenendo wa baadhi ya mataifa ya Ulaya kutoa fursa kwa  wafuasi wa kundi la kşgaidi PKK/YPG-PYD kufanya mikutano  huku chama tawala  kinanyimwa fursa hiyo. 

Akizungumzia ziara yake Boznia Herzegovina,  rais Erdoğan amesema kuwa  taifa hilo limetosha kwa waturuki wa Ulaya  kufanya mkutano.

 

 Habari Zinazohusiana