Kwanini uchaguzi wa Juni 24 una umuhimu mkubwa kwa Uturuki ?

Kwanini uchaguzi wa Juni 24 una umuhimu mkubwa kwa Uturuki ?

Kwanini uchaguzi wa Juni 24 una umuhimu mkubwa kwa Uturuki ?

Ibrahim Kalın

Kwa hali yeyote , uamuzi ni ule utakaochukuliwa katika uchaguzi wa Juni 24 ambapo  vyombo vya habari vimeonesha kuwa uchaguzi huo utakuwa na umuhimu  mkubwa kwa Uturuki. Uamuzi huo utachukuliwa na raia wa Uturuki.

Zikiwa zimesalia wiki nne pekee, wapigaji kura nchini Uturuki  watajitokeza kwa wingi ifikapo Juni 24 kumchagua rais mpya na wabunge watakao wawakilisha bungeni na kutetea maslahi yao. Uchuguzi huo upelekea kubadilisha mfumo wa uongozi uliopo nchini Uturuki . Uturuki itakuwa imeingia katika mfumo wa urais. Baada ya uchaguzi kunatarajiwa mabadiliko yenye manufaa kwa Uturuki kama katika siasa na uchumi.

Masuala hayo yatajadiliwa. Mfumo wa urais  ulipitishwa katika kura ya maoni ilipigwa mwaka uliopita. Mfumo huo mpya utakuwa mfumo wa urais wa uongozi wa pamoja. Mfumo huo ni tofauti na mfumo uliopo nchini Marekani kwa kuwa haitokuwa mfumo wa majimbo.  Vile vile mfumo huo  sio kama mfumo wa Ufaransa ila haitokuwa na  ofisi ya waziri mkuu ambalo ni tofauti na mfumo wa Ufaraansa.

Mfumo huo mpya unagawa uongozi  matabaka matatu, upigaji kura, kuchukuwa uamuzi na kitengocha sheria.  Kutakuwa na  usimamizi wa utawala katika serikali.

Rais wa nchin atakuwa  na mamlaka  katika uongozi na mbele ya raia. Mahakama itakuwa huru .

Viongozi kadhaa tayari wamekwishaorodheshwa katika kinyanganyiro hicho kinachotarajiwa Juni 24. Bila shaka ni wazi kuwa rais Recep Tayyıp Erdoğan  atakuwa na utofauti mkubwa  dhidi ya wagombea wenza.  Katika mzunguko wa kwanza.  Rais Erdoğan akiwa na umashuhuri mkubwa wa muda mrefu kwa waturuki, rais Erdoğan anaendelea kuwa  kiongoni ambae ameaniwa na raia kwa uongozi wake wa miaka 16. Rais Erdoğan amefanya mabadilko makuba kisiasa na kiamii nchini Uturuki.

 Hali hiyo inakwenda sambamba na nyaraka za rais Erdoğan. Masuala tofauti tayari rais Erdoğan amekwisha weka sawa ikiwa katika sekta ya uchumi, kiwango cha kipato cha ndani kimekuwa mara tatu na uTuruki imekuwa katika soko huria la kimataifa. Vyuo vikuu na  vituo vya utafiti vimeanzishwa,  mizozo iliokuwepo kwas asa hakuna kama tatuangalia kwa jicho chanya ilivyokuwa jamii ya wakurdi, jamii ya alievi, waarmenia. Mogogoro ya unyanyasaji na ukandamizaji ya hapo amawali  imekommmeshwa.

Kumekemewa jaribio la mapindoni la Julai  mwaka 2016 na matokeo mengine kati ya mwaka 2007 na mwaka 2010. Rais wa Uturuki hakubali hata mara moja  utofauti katika jamii kuwa kama kiini cha mizozo.  Mitazomo tofauti inatolewa na kampeni za uchaguzi, bila ya kujali utofauti wa kimajimbo, na kijamii  , kinachopewa kipaumbele ni siasa yenye malengo  endelevu kwa uTuruki.

Kisiasa ni wazi kuwa watu wote hawawezi kuridhishwa na  siasa za rais Erdoğan . Upinzani kama kawaida yake  hutumia mbinu zake zilezile za tangua wali kukanusha  mabadiliko chanya yaliofaanikishwa katika utwala wa rais Erdoğan.Upinzani unatupilia jambo lolote ambalo ni wazi kuwa ishara ya kufaanikiwa kwa utawala wa rais Erdoğan. Hali hiyo aua upinzani wa hali kama hiyo haijawahi kufaulu dhidi ya rais Erdoğan. Mbinu hizo hazitofua dafu Juni 24 katika uchaguzi.

Wapigaji kura nchini Uturuki wanaelewa ni lugha iliosahihi na ipi ni lugha ya ulaghai katika kampeni .

Wapiga kura hawatobadilisha msiamamo wao    na kuhakikisha kuwa  matokea yanakuwa na utofauti mkubwa.  Upinzani mara kadhaa imetoa uahadi ambazo hazitekelezeki hata kwa mtazamo wa kawaida.Habari Zinazohusiana