Leo katika magazeti ya Uturuki

Leo katika magazeti ya Uturuki

Leo katika magazeti ya Uturuki

Hürriyet: «Mradi wa TANAP waanza kazi»

Mradi wa Tanap ambao  ni mradi unahusika na usafirishaji wak gesi  asilia kutoka  Azerbaijan kupitia nchini Utuduki umenza kazi  baada ya kuzinduliwa rasmi mjini Eskişehir nchini Utyuruki. Katika uzinduzi hupo rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğna na viongozi wengine akiwemo rais wa Ukraina na waziri wa nishati na mali ya asili walishiriki.  Gesi kutoka nchini Azerbaijan itakuuwa  ikisafirishwa kutoka Azerbaijan kuelekea katika mataifa ya Ulaya kupitia nchini Uturuki. Rais wa  Cyprus Mustafa Akinci , rais wa AZerbaijan Ilham Aliev, rais wa Sebia Alexandre Vujic na Ptero Poroshenko wameshiriki pia katika uzinduzi huo. Rais Erdoğan amepongeza  mradi huo wa kihistoria.

Haber Türk: « Yıldırım: Uturuki inaendelea n lengo lake la kutaka kujiunga na Umoja wa Ulaya »

Waziri  mkuu wa Uturuki Bna li Yıldırım  amekutana na waziri mkuu wa Bulgaria  Boiko Borissov  katika hafla ilioandaliwa mjini İzmir .  Katika mkutano wao huo waziri mkuu wa Uturuki amesema kuwa  Uturuki inandelea na malengo yake ya kutaka kujiunga na Umoja wa Ulaya. 

Vatan: « Şimşek: tumechukuwa dhahabu yote kutoka Marekani »

Naibu waziri  wa uchumi Mehmet Şimşek  amesema kuwa Uturuki imechukuwa dhahabu yake yote ambayo ilikuwa ikipatikana nchini Marekani na kusisitiza kuwa  hakuna dhahabu  ya Uturuki haka chembe uliobaki nchini Marekani.

Star: « Mashua kabambe ya MSC Uturuki »

Mashua  kabambe ya  kimataifa ya MSC kunza kuanza safari zake Uturuki. Mkurugenzi wa Mediterranean Shipping Company, Diego Aponte  amefahamisha kuwa  meli kubwa ya MSC  ambayo  hupita katika bandari tofauti ulimwenguni itaanza pia kupita katika bandari za Uturuki.

Sabah: « Michezo  ya Uturuki yawavutia wengi ulimwenguni »

 Habari Zinazohusiana