"Magaidi wataangamia katika ngome zao"

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan asema kuwa magaidi wataangamia katika maficho na ngome zao

"Magaidi wataangamia katika  ngome zao"

Rais wa Uturuki akizungumza kuhusu ugaidi amesema kuwa magaidi wataangamia katika ngome zao kutoka na mashambulizi dhidi ya ugaidi yanayoendelea  Judi , Gabar, Tendurek na katika eneo la Bestle.

Rais Erdoğan ameyazungumza hayo katika mlo wa usiku ambao waislamu wanoafunga hushauriwa kutumia  kwa lengo la kuzuia afya kudhoofika wakati wa funga.

Rais Erdoğan katika hotuba yake  hiyo amesema kuwa magaidi wataangamizwa katika  maficho yao.

 Uturuki iliendesha  operesheni dhidi ya ugaidi Afrin  na Jarabluz.  Wakimbizi waliolazimika kuondoka katika mkaazi yao wameaanza kurejea katika makaazi yao.

Zaidi ya wakimbizi 200 000 wamerejea katika majumba yao baada ya jeshi la Uturuki kuondoa vitisho vya magaidi.

 

 Habari Zinazohusiana