Uchaguzi wa mwaka 2018 , mfumo wa urais Uturuki

Kutoka katika chuo kikuu cha Ankara Yıldırım Beyazit Profesa Daktari Kudret BÜLBÜL ametuletea tathmini ya mada yetu ya leo

Uchaguzi wa mwaka 2018  , mfumo wa urais Uturuki

Baada ya  chaguzi 27,  uUturuki imepiga kura kumachagua kiongozi na rais  wa kwanza ambae ataongoza  chini ya mfumo mpya wa urais.  Kulingana na matokeoa ya uchaguzi mkuu wa rais wa wabunge Uturuki, rais Recep Tayyıp Erdoğan amechaguliwa kuwa rais wa kwanza katika mfumo mpya wa urais nchini Uturuki.

Rais Erdoğüan amechaguliwa kuwa rais wa Uturuki kwa asilimia 52,3 ya kura akiwa mgombea wa chama cha AKP, katika uchaguzi na matokeo ya uchaguzi  amefuatiwa katika nafasi ya pili na  mgombea wa upinzani aambae ni Muharrem İnce akiwakilisha chama cha CHP kwa kupata asilimia 30,6 ya kura.  Chama cha AKP kwa mara ya kwanza kimepungukiwa na  wabunge wake tangu mwaka 2002 ikilinganishwa  na uchaguzi wa mwaka 2015 Juni.

Kutoka katika chuo kikuu cha Ankara Yıldırım Beyazit Profesa Daktari Kudret BÜLBÜL ametuletea tathmini ya mada yetu ya leo…

Uchaguzi mkuu nchini Uturuki  ulikuwa uchaguzi huru na wenye ushindani mkubwa.  Tunaweza kuzungumza kuwa   tumeshuhudia ushindani mkubwa katika uchaguzi uliofanyika Uturuki .  uchgauzi huu wa Uturuki y-tunaweza kuuzungumza kwa kusema kuwa  demokrasia kwa sasa imefikia hatua ambayo Uturuki inaweza kuwa mfano.

Uchagui huo tunaweza kuuzungumzia kama ifiutavyo :

 Raia  asilimia 87,5  wameweza kujiandikisha na kupiga kura katika uchagzui mkuu uliofanyika Uturuki ikiwa watu zaidi ya milioni 60. Idadi kubwa ya watu hao waliojiandikisha kushiriki katika uchaguzi mkuu Uturuki inaonesha kuwa kwa sasa Uturuki imepiga hatua  na idadi hiyo imevunja rikodi  ya watu ambao wameweza kujiandikisha kushiriki katika uchagzui ulimwenguni.  Hali ya demokrasi ana ueleo wake kwa Uturuki inafahamika kihistoria tangu mwaka 1876 wakati . 

Ikilinganishwa na baadhi ya mataifa ya Magharibi  Uturuki imepiga hatua katika demokraasia kwa raia kuweza kuelewa nini maana ya demokrasi ana  kujiandikisha kushiriki katika uchaguzi kwa wingi. 

Katika mştandoa ya kijamii kumeelezewa kuwa  wakati ujao utakuwa wakati ulio na matumaini kwa taifa la Uturuki. Licha ya kutolewa na tathmini kuhusu matokeo ya uchaguzi  chama tawala kimeweka kulinda  nafasi yake kwa kutekeleza ahadi zake.

Utulivu wa kisiasa unashuhudiwa:

Mara kwa mara chama cha AKP kilikuwa kikiibuka mshindi katika  chaguzi zilizokuwa zikifanyika tangu mwaka 2002.  Hakuna mfano mwingine na mafaanikio kisiasa kama mafaanikio ya chama  hicho Uturuki.

 Katika mataifa ambayo kunapatikana  ushindani mkubwa wa kisiasa na  demokrasia, kushinda katika chaguzi zaidi ya mara tano ni ambo ambalo hutokea kwa nadra.

 Hli hiyo ineonesha kuwa wapiga kura nchini Uturuki kwa ujumla wanaridhishwa na ahadi  ambazo hutolewa na chama tawala tangu kuingia kwake madarakani. Na hali hiyo ineonesha kuwa  kwa sasa nchini Uturuki kuna  utulivu na ueleo wa kisiasa katika jam ii. Hakukuepo na  hotuba za vitisho kutoka upinzani  bali umoja na maslahi ya taifa.

Kwa mara nyingine  katika mfumo wa urais:

Vyama vya upinzani na muungano  vilitoa hadi kuhusu  matuamiani yao ya kurejea katika mfumo wa bunge kama wengeweza kushinda katika uchaguzi uliofanyika Uturuki.  Mfumo wa rais  na ushindi wa rais katika uchaguzi ni  baada ya kura ya maoni iliofanyika Uturuki mwaka 2017 kuhusu mabadiliko ya katiba n ana mfumo wa urais. Katika kura ya maoni iliofanyika Uturuki aslimia 51,4 ilikubali mfumo wa urais na kumcchagua rais  Recep Tayyıp Erdoğan  kwa mara nyingi kama rais wa Uturuki katika mfumo mpya wa urais.

Mtazamo na tathmini:

Matokeo ya uchaguzi yanonesha kuwa  kuna kiwango  cha kuridhika  katika vyama vyote. Chama cha MHP, AKP na mabadiliko ya  CHP na HDP mtazamo wao uliweza kuangaliwa  kwa mvuto wao kwa mara ya kwanza.  Rais Erdoğan alitoa pongezi wakati wa hutuba yake  na kusema kuwa chama cha AKP kinaendelea kuwavutia raia wote kwa kutekeleza ahadi zake. Vyama vingine vimeweza kujianga  vile vile cchama cha AKP  na rais Erdoğan  kimeweza kuungwa mkono na  jamii ya wakurdi kwa  upande mmoja au mwingine katika uchaguzi.

 Hali hiyo inaonesha kuwa  kwa sasa demokrasia imepiga hatua kwa kuwa raia wamekwisha tambua kuwa kuna haki kwao ni wapo huru kuchagua chama na utawala wanaoutaka. Raia wapo huru kuhamia  katika chama chochote kile wanachokiamini kutumiza mahştaji yao. Hali ambayo imeonakana kuwa Erdoğan na İnce kupata  kura nyingi kuliko vyama inaonesha kuwa walichaguliwa na watu kutoka katika vyama vingine.

Idadi kubwa katika bunge: 

Kutokana na mfumo wa kuzuia asilimia 10, upande wa  matakwa ya wapiga kura  haikuwa na wawakilishi bungeni. Kulingana pia na  mfumo wa ushirikiano na muungano katika chaguzi, vyama vinane vimeingia katika baraza la bunge  vikiwa na wagombea wao ambao walichaguliwa na  muungano.  Vyama hivyo ni CHP, MHP, HDP, Iyi, BBP na chama cha Uaminifu na wanademokraisa.  Tangu kuanza kwa  mfumo wa vyama vingine miaka ya 1950, kulipatikana vyma vinane ambavyo viliwakilisha katika chaguzi za mwaka 1969.

Muungano na mfumo mpya  kwa pamoja :  

Katika   kipindi chetu juma lililopita, tulizungumzia  kuhusu ushikiano na na mfumo mpya  Uturuki na kuonesha kuwa 

Na kussema kuwa  taifa limewaacha raia katika uamuzi kuhusu mfumo huo na kuwapongeza raia. Kulikuwa  kukitambuliwa kuwa  asilşmia 50 +1 ndio itafanya chama au mgombea  kuwa mshindi katika uchaguzi.  Rais alitakiwa kuchaguliwa kwa asilimia  hiyo au zaidi.

Vyama vya kisiasa havikuwa vikitegemea  wanachma wao tu bali kulikuwa na umuhimu mkubwa vya vyama hivyo kuwashawishi hata wasiokuwa na vyma kuchagua  wagombea wa vyama vyoa. Hali hiyo ineonesha wazi kuwa  taifa linaendela  kuimarika katika misingi ya demokrasia  na hali hiyo inaplekea katika amani na utulivu zaidi wa kiroho.

Hali isioridhisha kutoka kwa watendaji ulimwenguni:

Kama ilivyokuwa katika chaguzi za hapo awali, baadhi ya mataifa, mashirika   na  mashirika ya habari ya Magharibi yameshiriki k wa kiasi kikubwa katika uchaguzi uliofanyika nchini Uturuki.  Mashirika hayo yamezungumza kwa lugha ilikuwa ya kuridhisha dhidi ya chama cha AKP.  Hayo ni kama ilivyokuwa  katika chaguzi zilizopita na wapiga kura hawakuwa na lolote la kutegemea kutoka kwa watendaji hao ulimwenguni.  Hali hiyo tumeishuhudia kwa waturuki wanaoishi nje ya nchi  wakati wa zoezi  la kura. 

Waturuki waishio ugenini  walipigwa marufuku na kuwekewa baadhi ya vikwazo dhidi ya haki yao ya kimsingi na  kisiasa. Baadhi yao  waliwekewa  ugumu  na kudhulumiwa  haki yao ya uhuru wa kujieleza . waturuki walishambuliwa na kutishwa  katika baadhi ya mataifa. Licha ya  hali hiyo ya vuta ni kuvuti waturuki waliweza kushiriki katika zoezi hilo wakiwa ugenini na kuongezza asilimia kadhaa ambayo pia imepelekea kuvunja rikodi kwa watu waliojiandikisha kushiriki katika uchaguzi mkuu  Uturuki kwa mara yake ya kwanza katika historia.

Baada ya miaka ya 2000,  Uturuki imweza kuinua  kipato chake kwa raia na kufikia dola 2 000 na 10 000.   Vile  kupiga atua katika demokrasia na uhuru wake. Licha ya  hali kuwa mbaya katika mataifda jiarani ya Uturuki kama Syria, Irak, Iran, Ugiriki, Libya, Israel Ukraina na Georgia Uturuki imebaki kuwa mfano bora wa amani  na matumaini katika ukanda.   Uturuki imeweza kuondoa  majaribio ya uhalifu wa FETÖ na jaribio lake la kupindua serikali.

Kura ya maoni ya mwaka 2017 n a uchaguzi mkuu uliofanyika Uturuki mwishoni mwa wiki, Uturuki imefanya mabadiliko  makubwa  ya kidemokrasia tangu miaka 150 na kuingia katika mfumo wa urais.  

Yote hayo yamefaulu kutokana na  mfumo wa kisiasa  wa demokrasia.  Kama  haingekuwa  uchaguzi huru na wa haki  na ushindani,  na kuwa na kipaumbele kwa jamii, mabadiliko hayo yana umuhimu mkubwa  katika kuimarisha demokrasia  nchini Uturuki.  Uturuki inatoa funzo na kuwa na mchango katika ukanda mzima ikiwemo pia Magharibi . wakati ambapo  Ulaya ikijadili kuhusu wahamiaji, Uturuki imepokea na kutoa hifadhi kwa wakimbizi zaidi ya milioni 3,5.

Kutoka katika chuo kikuu cha Ankara Yıldırım Beyazit Profesa Daktari Kudret BÜLBÜL ametuletea tathmini ya mada yetu

 Habari Zinazohusiana