Ushindi wa rais Erdoğan na siasa za nje za Uturuki

Kutoka katika kitengo cha utafiti wa kisiasa, uchumi na jamii, mtafiti wetu Can ACUN ametutaarishia tathmini ya mada yetu  kutoka SETA

Ushindi wa rais Erdoğan na siasa za nje za Uturuki

Uturuki imepiga kura kumchaguwa rais mpya na wabunge Junni 24.  Matokeo ya uchaguzi huo yaalikuwa yakisubiriwa kwa hamu kubwa kutoka huku na kule ulimwenguni.

Baada ya kura kuhesabiwa rais  Recep Tayyıp Erdoğan ameibuka mshindi kwa kupata asilimia 526 ya kura . Ushindi huo umepatikana kwa  ushirikiiano na chama cha MHP. Uchaguzi huo umefanyika baada ya kura ya maoni iliopitisha mfumo mpya wa urais nchini Ururuki. Uturuki inaingia katika mfumo mpya katika uongozi wake. 

Katika uchaguzi huo asilimi 87 ya waturuki wamejiandikisha kushirik katika zoezi hilo la kupiga kura. Uchaguzi wa sasa umeonesha kuwa demokrasia nchini Uturuki imepişga hatua kubwa. Jumuinya ya  kimataifa imefuatilia pia  zoezi la uchaguzi huo lilivyoendeshwa. Kuchaguliwa kwa rais Erdoğan katika uchaguzi huo kunaleta taswira gani  katika sis aza nje za Uturuki  ikiwemo pia ktika mapambano dhidi ya ugaidi. Ni wazi kuwa mapambano dhidi ya ugaidi yataendelea.

Katika hali ya kuingia mkatika mfumo huo mpya kunatakiwa kuwa na mfumoı mzı-uri wa siasa za nje za Uturuki . Uturuki imeweza  kuendesha harakai zake za kisiasa kwa mbinu tofauti ambazo na kuheshimu misingi ya ya kitaifa.

Kwa kufanya kazi kwa upande mmoja na washirika wake wa muungano wa Magharibi wa kujihami NATO upande mwingine ikishirikiana na Urusi, Iran na mataifa mengine  katika ukanda wa Mashariki ya Kati. Vile Uturuki inashirikiana na  mataifa ya Balkans, Asia na mataifa ya  ya bara la Afrika. 

Miongoni mwa  mambo yanayopelekea ushirikiano huo  na mataifa hayo ni misaada ya kibinadamu na ushirikiano katika ulinzi.  Uturuki ikiwa taifa ambalo kiuchumi ulimwenguni lipo katika  nasafi ya 13 ulimwenguni, Uturuki  inaongoza katika mataifa ambayo yanatoa misaada  ya kibğnadamu ulmwenguni. 

Uturukki inafuatiwa na mataifa makubwa  kiuchumi ulimwenguni kama Marekani. Misaada ya kiutu ya Uturuki inatolewa kwa  kuonesha umuhimu wa kusaidia na kutoa kipaumbele kwa watu wenye kuhitaji misaada  wanapokuwa katika mazingira  magumu. Uturuki katika ushirikiano katika sekta ya ulinzi  na  silaha kuna data muhimu ambazo zinaonesha  ni kipi ambacho Uturuki kwa sasa inajaribu kufanya katika  siasa zak za nje. 

Kuiuzia Pakistani helikopta aina ya ATAK , magari ya kivita  katika mataifa ya Ghuba na kuonekana na mataifa kadhaa kuvutiwa na sialaha za Uturuki zimetoa oda ya ndege zisizokuwa na rubani. Jambo linaonesha wazi kuwa Uturuki imepiga hatua katika teknolojia.

Matokeo ya uchaguzi wa Juni 24 ni  ruhusa  kwa uTuruki kuendelea kushirikiana na mataifa mengine katika kuimarisha ushirikiano na siasa za nje.  Misaada ya kiutu na  ulinzi vinaumuhimu katika kuimarisha ushirikiano huo.  Hivyo basi tunaweza kusema kuwa Uturuki ndio tuendelee kutoa msaada kwa watu wenye kuhitaji msaada nchini Somalia.

 Matokeo hayo yana umuhimu  pia katika  harakati za kupambana na ugaidi.  Baada ya kuwaondoa magaidi  wa kundi la wanagambo wa Daesh  katika operesheni ya  Efratia, Uturuki jeshi lake limesafisha  jimbo la Afrin kwa kuwaondoa pia magaidi wa kundi  kwa YPG/PKK na operesheni iliopewa jina la Tawi la Mzaituni.

Tunaweza kusema kuwa  kutokana na matokeo ya uchaguzi , operesheni  inayotarajiwa ni kusafisha eneo la Kandil na kuwaondoa magaidi wa PKK na vitisho vyao. Jeshi la Uturuki litaendelea kushambulia ngome za wanmagambo wa PKK  mpakani mwa Uturuki na Irak.

Katika harakati za kupamabana  na ugaidi, mashambulizi na ulinzi utaimairshwa  katika maeneo ya mipakani. 

Kundi la kşgaidi la YPG litaondolewa Manbij kufuatia makubaliano yaliosainiwa kati ya Marekani na Uturuki. Uturuki na Marekani wote wanachama wa muungano wa kujihami  wa Magharibi NATO. 

Marekani na Uturuki zitashirikiana katika kulinda usalama kwa pamoja katika eneo amblao wanagambo wa kundi hilo watakuwa wameondoka.  Makubaliano hayo yalifanyika kabla ya uchagıuzi uliofanyika Juni 24.  Mazungumzo ya Astana kuhusu Syria yaliokuwa yakifanyika  kwa ushirikiano na Iran na Urusi  lengo lake ilikuwa ni kuhakikisha kuwa amani inarejea moja kwa moja nchini Syria.

Kutoka katika kitengo cha utafiti wa kisiasa, uchumi na jamii, mtafiti wetu Can ACUN ametutaarishia tathmini ya mada yetu  kutoka SETA      Habari Zinazohusiana