Mfumko wa bei, kipaumbele kwa serikali mpya Uturuki

Waziri mkuu wa Uturuki Binali Yıldırım asema kuwa mfumko wa bei ni moja ya masuala yatakayopewa kipaumbele na serikali mpya ya Uturuki

Mfumko wa bei, kipaumbele kwa serikali mpya Uturuki

Waziri mkuu wa Uturuki Binali Yıldırım  asema kuwa  mfumko wa bei ni moja ya  masuala yatakayopewa kipaumbele na uongozi wa serikali mpya itakayoundwa nchini Uturuki baada ya uchaguzi mkuu uliopita Juni 24.

Uturuki inatakiwa  kuendelea kaimarisha sekta yake ya  uchumi kwa kukabiliana na mfumko wa bei za bidhaa mahitaji. 

Waziri mkuu wa Uturuki amesema kuwa  uzalishaji na mauzo ya nje  yatapewa pia kipaumbele kwa lengo la kuimarisha uchumi.

 

 Habari Zinazohusiana