Julia 15 : Uasi na umwagaji damu

Kutoka  katika chuo kikuu cha Ankara Yıldırım Beyazit kitengo cha siasa , daktari Kudret BÜLBÜL  anatuletea tathmini katika kipindi chetu

Julia 15 : Uasi na umwagaji damu

 

Wale wanaosishi nje ya Uturuki na kujaribu kuendesha harakati za mabadiliko yasiokuwa na msingi kwa taifa, raia  walisimama kidete kwa ushujaa na kuzuia  uharibifu usitendeke . Baadhi ya watu  hutumia udanganyifu  kwa şlengo la kufikia  kile wanachohitaji.  Mpango maalumu huendeshwa kwa lengo la kuokoa walimwengu kutokana  na vitisho. Kuna baadhi ya matukio huwa yakishuhudiwa katika filamu pekee.

Uturuki imekumbwa na jaribio la mapinduzi Julai 15  mwaka 2016 ambapo wahaini walijaribu kupindua serikali.  Wahaini wa kundi la FETÖ ambao wameficha nyuma ya pazia ya dini  wanadtumia imani  za kipotovu  kufikia malengo yao ya uharibifu. Wahaini wa kundi hilo na kama vimeleo ambavyo vinazagaza sumu.

Kutoka  katika chuo kikuu yc Ankara Yıldırım Beyazit kitengo cha siasa , daktari Kudret BÜLBÜL  anatuletea tathmini katika kipindi chetu cha leo

Kulitokea nini usiku huo?

Wafuasi wa kundi   ambalo lililkuwa mbio katika jaribio lake la kutaka kupindua serikali  tayari walikuwa wamekwisha jipenyeza katika taasisi muhimu   Uturuki. Wafuassi hao wa kundi la FETÖ walikuwa wakidai kuwa wanafuata mafunzo ya dini. Kiongozi wa kundi hilo  Fetullah Gülen walikuwa wakifuata maekezo kutoka kwa kiongozi wao ambae  amepewa hifadhi nchini Marekani Julia 15 mwaka 2016  kuendesha mapinduzi.

Wafuasi wa kundi hilo wakishirikiana na baadhi ya  wafanyakazi waliochukuwa uamuzi wa kusaliti walifaulu kwa muda kutenga uaongozi katika taasisi tofauti za umma Uturuki.  Vituo vya habari kama kituo cha redio na runinga ya taifa TRT kilitekwa na vituo vingine  CNN Türk vilitekwa na kuwa chini ya wahaini wa FETÖ.

Bunge la Uturuki lilishambuliwa kwa makombora, bunge ambalo halijawahi kushambuliwa hata katika wakati wa vita.  Wahaini hao waliendesha operesheni ambayo pia walikuwa na lengo la  kumuandoa rais ambae alichaguliwa chini ya misingi ya demokrasia.  Yote hayo yaliotendwa na wahaini hao ni kinyume na  utamaduni wa Uturuki. Maelefu ya raia wazalendo walimiminika mabarabarani kuzuia mpango wa  haraka wa wahaini wa kundi la hilo la kigaidi. Wahaini hawakusitia kushambulia raia kwa makombora waliokuwa mabarabarani wakitumia ndege za jeshi  kwa makombora  ambayo raiahulipa  ushuru kwa ajili ya ulinzi wao.

Raia hawakukubaliana na uhalifu uliokuwa ukitendwa na wahaini, waliparamia katika vifaru na kutumia mbinu tofauti  kuzuaia wahaini kupindua serikali, baada ya muda watu kadha waliuawa na wengine kujeruhiwa.

Uturuki imetoa funzo la demokrasi ulimwenguni

Rais Recep Tayyıp Erdoğan alitoa wito kwa raia wazalendo  kuwa mashujaa na kupigania  demokrasi ana  uhuru wa Uturuki. Baada ya kutoa wito huo  waelfu ya raia  walimiminika mabarabarani  katika pembe zote za Uturuki.  Raia hao walijielekeza katika taasisi za umma licha  uashambuliwa kwa silaha na vitisho  kutoka wahaini waliokuwa wakipewa  maelekezo na viongozi wao whalifu. Baadhi ya raia walikabiliana na wahaini waliokuwa wamevalia sar eza jeshi  kwa kuwazuia , jambo ambalo lilionekana kuwa jambo la kishujaa na linalostahili kupongezwa.  Baadhi ya watu wa karibu walikamatwa na kuzuiliwa na wahaini. Uturuki ilikuwa katika hatari wakati wa jaribio la mapinduzi.

Kwa mara ya kwanza ilikuwa ni kitendo ambacho kilizuiliwa na raia waliojitokeza mabarabarabi kuandamana na kuwapinga wahaini waliokuwa wakitaka kupindua seirikali.  Kwa muda wa zaidi ya wiki moja  raia wa Uturuki walikuwa wakikutana usiku na mchana kukemea jaribio hilo la mapinduzi  kwa kulala mabarabarani kama şshara ya kupinga jambo hilo ambalo lillkuwa jambo la kukemewa.

Uturuki  kwas asa ina raia ambao wanatambua umuhi u na thamani ya tafa lao kidemokrasia na kiutu.  Licha ya watu hao kukaa mabarabarani kwa muda wa zaidi ya wiki mojahakuna mtu yeyote amabe alijeruhiwa. Hakuna kitendo cha uhalifu ambacho kilijitokeza katika siku zote ambazo watu walikuwa wakilala nje kama ishara ya kupinga jaribioa la mapinduzi na kuuunga mkono serikali iliochaguliwa chini ya misingi ya demokrasia.  Ni jambo la kushangaza uliömwenguni kuona raia wa kawaida wanazuia jaribio la mapinduzi. Raia ambao hawakuwa na silaha wamekabiliana na  wahaini hao na kufaulu kuzuia  jaribio hilo la mapinduzi.

Katika miaka ya 1990 katika maandamano ya Tianenmen alijitolea kusimama mbele ya vifaru vya China. Lililkuwa tukio la kihistoria kwa ulimwengu mzima. Kitendo hicho kilikuwa kitendo cha kishujaa ambacho pia kiliwashangaza watu wengi na mğpaka sasa kitendo hicho bado kinakumbukwa. Kştendo hicho kilipongezwa na na vyombo vya habar i ulimwengu mzima.  Wafuasi wa kundi la FETÖ katika harakati zake  ambazo  linajificha nyuma ya pazia ya imani na dini  wameonesha uhalisia wao kwa kushambulia raia  kwa kutumia vifaru.

Jambo la kushngaza ni kwamba yaliotokea Uturuki Julai 15 mwaka 2016  na ujasiri wa waturuki dhidi  ya wahaini wa FETÖ  ni jambo ambalo lililpuuzwa kwa kiasi  na vyombo vya habari  vya kimataifa. Licha ya kuwa ujasiri huo umepuuzwa na baadhi,  bado wengi wanapongeza kitendo hicho cha ujasiri kilichotendwa na raia wazalendo wa Uturuki.

 Ni nini FETÖ ?

Jambo la kusikitisha ni kwamba kundi la hilo hadi sasa kuna baadhi ya watu bado hawajalifahamu kundi hilo kimataifa. Kundi hilo ni kundi ambalo linataraji kuunda  vuguvugu la kidini ambalo linamchukuwa kiongozi wake  kamwa masihi.   Wafuasi wa kundi hilo wanamchukuwa kiongozi wao kama  muakozi wao.  Na wafausi wake wakaribu wanaimani kuwa wao ni wateule.   Katika hali hiyo wafuais wa kundi hilo wanataraji kueneza imani yao ulimwenguni.  Kutokana na imani yao hiyo , kundi hilo limejaribu kuwa na viongozi wake wa kidini katika mataifa tofauti  ulimwenguni.  Kiongozi wa kundi hilo Fethullah Gülen  anachukuliwa na wafuasi wake kama  kama imam wa umma ambae ataukomboa ulimwengu.  Ni kutokana na malengo hayo kundi hilo la FETÖ   lina utendaji wa kimataifa.

Kundi la FETÖ litoa mafunzo magumu kwa wafuasi wake kwa lengo la kuwaonesha kuwa kuna umuhimu mkubwa kuamini   katika ibada zake.  Katika kipindi cha mafunzo wafuasi wa kundi hilo  hujitenga kabisa na jamii. Wafuasi haohapelekwa katika maeneo ambayo kuna harakati za ajabu na ziszoeşleweka. Katika kipindi cha mafunzo , wafuasi hao hua-ondolewa na kutengwa na familia zao kwa kisingizio kuwa ndio yalikuwa mafunzo ya uislamu . Imani hiyo ilianzishwa katika miaka  ya 1970  haina msingi wowote katika historia  na upotevu . Imani hiyo haina historia wala utamaduni unao tambulika. Kwa wazazi amabo wanawaacha vijana wao katika shule hizo  wataona mwenendo kwa wanao utakavyokwa ukibadilika kila wakati. Watoto pindi wanaingia katika imani hiyo basi huanza kujitenga na  familia zao.

Wanadai kuwa malengo  yao ni malengo takatifu.  Jambo wanalofahamishwa ili kufikia malengo yao ni kujiğpenyeza  kwa kujificha  bila ya kutambulika katika jamii hadi kufika kunako malengo. Wafuasi hao wana imani kuwa kila mbinu  ambayo huweza kutumiwa ili kufika katika malengo  basi itumiwe.

Ni wazi kuwa wanakwenda kinyume na  falsafa za Mevlana Calaladın Rumi  ambae alisema kuwa  jtambulishe kama ulivyo .  Kwa wao hawawezi kufanya hivyo kwa kuwa  malengo yao ni tofauti na mafunzo hayo.

Itaendelea...

 Habari Zinazohusiana