Uamuzi wa NATO kuhusu Uturuki

NATO imetoa uamuzi wa kuzidisha ulinzi katika mipaka ya Uturuki.

Uamuzi wa NATO kuhusu Uturuki

NATO imetoa uamuzi wa kuzidisha ulinzi katika mipaka ya Uturuki.

Uamuzi huo umetolewa katika siku ya kwanza ya mkutano wa NATO katika mji mkuu wa Brussels.

Uturuki imeuchukua uamuzi huo kama njia mbadala ya kupambana na ugaidi.

Mkutano huo utafanyika kwa muda wa siku mbili.


Tagi: Uturuki , NATO

Habari Zinazohusiana