Uturuki yateua manaibu waziri 13

Uturuki imeteua manaibu waziri wapya 13 siku ya Jumamosi.

Uturuki yateua manaibu waziri 13

Uturuki imeteua manaibu waziri wapya 13 siku ya Jumamosi.

Kulingana na habari Cengiz Oner, Hilmi Bilgin, Selahaddin Mentes na Yildiz Seferinoglu wamechaguliwa kusaidia katika wizara ya haki.

Professor Ahmet Haluk Dursun, Nadir Alpaslan na Omer Arisoy wameteuliwa katika wizara ya utalii huku Enver Iskurt, Dr. Omer Fatih Sayan na Selim Dursun wakiwa wameteuliwa katika wizara ya miundombinu.

Uchaguzi wa mwezi uliopita ulibadilisha mpito wa Uturuki kuwa mfumo wa urais na kumuondoa waziri mkuu.

 Habari Zinazohusiana