Maadili  mema ya uislamu yahamasishwe ili kukabiliana na misimamo mikali

Rais wa Uturuki  asema kuwa kuhamasishwa maadili mema ya uislamu ili kukabilaina na misimamo mikali

Maadili  mema ya uislamu yahamasishwe ili kukabiliana na misimamo mikali

Rais wa Uturuki  asema kuwa kuhamasishwa maadili mema ya uislamu ili kukabilaina na misimamo mikali.

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan asema kuwa kuhamasishwe maadili mema ya uislamu ili kukabiliana na  makundi yenye misimamo mikali inayokwenda kinyume na mafunzo.

Rais wa Uturuki amewatolea wito  viongozi wa kidini kutoa hotuba ambazo  zinatoa wito wa kuishi pamoja  katika jamii.

Rais Erdoğan amezungumzia kundi la FETÖ na kundi la wanamgambo wa Daesh.

Hayo rais Erdoğan ameyazungumza katika   mkutano  uliofanyika Alkhamis mjini Ankara na viongozi wa kiislamu .

Mkutano huo umefanyika katika maadhimisho ya wiki  ya miskiti na viongozi wa kidini.

Katika wito wake huo rais Erdoğan amesema kuwa matamshi ya kibaguzi na chuki hayastahili katika jamii  bali jambo lililbora na la kupongeza na wito wa umoja na ushirikiano.Habari Zinazohusiana