Waziri mkuu wa Rwanda akutana na rais wa Uturuki

Waziri mkuu wa Rwanda  Edouard Ngirente apokelewa na rais Erdoğan Istanbul

Erdoğan 1.jpg

Waziri mkuu wa Rwanda  Edouard Ngirente apokelewa na rais Erdoğan . 

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan ampokea waziri mkuu wa Rwanda Edouard Ngirente mjini Istanbul  katika jumba la Dolmabahçe.

Mjini Istanbul kunafanyika mkutano wa kiuchumi kati ya Uturuki na mataifa ya bara la Afrika.Habari Zinazohusiana