Uturuki na mataifa ya bara la Afrika kuendelea kushirikiana

Waziri wa biashara wa Uturuki asema kuwa Uturuki itaendelea kushirikiana katika sekta ya maendeleo

Uturuki na mataifa ya bara la Afrika kuendelea kushirikiana

Waziri wa biashara wa Uturuki Ruhsar Pekcan asema kuwa Uturuki itaendlea kuunga mkono  juhudi  za mataifa ya bara la Afrika katika sekta ya maendeleo. 

Katika hotuba yake waziri wa biashara wa Uturuki amesisitiza kuwa  Uturuki itandelea kushirikiana na mataifa ya bara la Afrika kufikia katika  maendeleo.

Hayo waziri wa biashara wa Uturuki amezungumza  katika hafla ya chakula ilioandaliwa  baada ya mkutano wa pili wa  kibiashara kati ya Uturuki na mataifa ya bara la Afrika. Hafla hiyo imeandaliwa Jumatano mjini Istanbul.

Ruhsar Pekcan amesema kuwa Uturuki inaendelea kuimarisha  ushirikiano wake na bara la Afrika kupitia  biashara ni kuendelea kushirikiana katika miradi ya maendeleo.

 Habari Zinazohusiana