Mpigapicha maarufu wa kimataifa wa Uturuki Ara Güler aaga dunia

Mpigapicha maarufu wa kimataifa wa Uturuki aaga dunia akiwa na umri wa miaka 90

Mpigapicha maarufu wa kimataifa wa Uturuki Ara Güler aaga dunia

Ara Güler , mpigapicha maarufu wa Uturuki ambae alikuwa  akifahamika kimataifa ame aga dunia aakiwa na umri wa miaka 90.

Mpigapicjha wa kimataifa wa Uturuki Ara Güler amefariki    usiku wa Jumatano akiwa katika  hospitali ya Florence  Nightingale mjini Istanbul ambapo alikuwa akipatiwa matibu kwa muda.

Güler alikuwa akiğfahamika kwa kazi zake za upigaji picha ulimwenguni kote. Taatifa kuhusu  kifo cha mpigapicha huyo imetolewa na daktari Zafer Gokay.

Daktari huyo alifahamisha kuwa  vyombo vya matibabu alivyokuwa amefungwa Güler  havikuweza kuendelea kutoa matibabu na Güler kufariki.

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan amempigia simu mkurugenzi wa jumba la makumbusho la Ara Güler na kumpa pole Cağla Saraç.

Viongozi na mawaziri wa Uturuki wametoa samal za ramb rambi kwa falimia ya Güler.Habari Zinazohusiana