Antalya yavunja rekodi kwa watalii wengi

Antalya imefikia idadi kubwa ya watalii katika msimu huu wa mwaka 2018.

Antalya yavunja rekodi kwa watalii wengi

Antalya imefikia idadi kubwa ya watalii katika msimu huu wa mwaka 2018.

Katika miezi 9 ya kwanza ya mwaka huu, watalii milioni 12.5 wamepokelewa katika eneo la bahari ya Mediterranean.

Ripoti zimeonyesha kuwa watalii milioni 5.12 wametokea Urusi.

Nambari hii ni asilimia 24.2 ikilinganishwa na kipindi hicho  mwaka uliopita, na imeongezeka kwa asilimia 8.9 ikilinganishwa na idadi ya watalii wa Urusi mwaka jana.

Uturuki inazidi kuboresha sekta yake ya utalii.

Tagi: utalii , Uturuki

Habari Zinazohusiana