Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki akutana na mwenzake wa Laos

Waziri wa mambo ya nje  wa Uturuki amekutana na waziri wa mambo ya nje wa Laos.

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki akutana na mwenzake wa Laos

Waziri wa mambo ya nje  wa Uturuki amekutana na waziri wa mambo ya nje wa Laos.

Katika ziara yake kwa mara ya kwanza Laos,waziri Çavuşoğlu amefanya  mkutano na waziri wa mambo ya nje wa Laos Saleumxay Kommasith .

Viongozi hao wawili wamezungumza kuhusu mahusiano mazuri kati ya Uturuki na Laos.

Saleumxay Kommasith naye amempongeza Çavuşoğlu  kwa kuizuru nchi hiyo.

Tagi: Laos , Uturuki

Habari Zinazohusiana