Jeshi la Uturuki larusha video maalumu ya kumuenzi baba wa taifa Mustafa Kemal Atatürk

Jeshi la Uturuki larusha video maalumu ya kumuenzi baba wa taifa Mustafa Kemal Atatürk Novemba 10

Jeshi la Uturuki larusha video maalumu ya kumuenzi baba wa taifa Mustafa Kemal Atatürk

 

Jeshi la Uturuki larusha video ya baba wa taifa la Uturuk Mustafa Kemal Atatürk kama ishara ya kumuenzi katika  hafla ya kumbukumbu ambayo huadhimishwa kila ifikapo Novemba 10.

Video hiyo ya  baba wa taifa imeambatanishwa na kauli yake ambayo anafahamisha kuwa kumuona   sio mpaka kumuona bali  kuelewa fikra zake  na hisia zake kwa taifa.

Video hiyo imemalizika  kwa kauli "Daima  utasalia katika nyoyo zetu"

 

 Habari Zinazohusiana