Magaidi 15 waangamizwa Kaskazini mwa Iraq

Magaidi 15 wa PKK wameamgamizwa na jeshi la Uturuki Kaskazini mwa Iraq.

Magaidi 15 waangamizwa Kaskazini mwa Iraq

Magaidi 15 wa PKK wameamgamizwa na jeshi la Uturuki Kaskazini mwa Iraq.

Kwa mujibu wa habari,operesheni  dhidi ya magaidi hao imefanyika katika maeneo ya Gara, Zap na Avashin-Basyan.

Inasemekana magaidi hao walikuwa wamejiandaa kufanya mashambulizi.

Tagi: Iraq , PKK , Uturuki

Habari Zinazohusiana