Waziri Çavuşoğlu afanya mazungumzo na Lavrov

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki amefanya amzungumzo na waziri wa mambo ya nje wa Urusi.

pompeo-cavusoglu.jpg

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki amefanya amzungumzo na waziri wa mambo ya nje wa Urusi.

Katika mazungumzo hayo ya simu,Lavrov na Çavuşoğlu walizungumza kwa faragha bila kuwahusisha waandishi wa habari.

Baadaye Çavuşoğlu alifanya mazunguzmo ya simu na waziri wa mambo ya nje wa Marekani  Mike Pompeo.Habari Zinazohusiana