Waziri mkuu wa Ugiriki atembelea Hagia Sophia

Waziri mkuu wa Ugiriki atembelea Hagia Sophia

cipras ruhban okulu1.jpg
cipras ruhban okulu.jpg
cipras ayasofya1.jpg


Hagia Sophia ni jina la Kigiriki la kanisa kubwa mjini Istanbul - Konstantinopoli lililobadilishwa kuwa msikiti tangu 1453 na halafu kuwa makumbusho mwaka 1934. 
Katika ziara yake nchini Uturuki waziri mkuu wa Ugiriki Alexis Tsipras ametembelea  Hagia Sofia mjini Istanbul.
Waziri mkuu wa Ugiriki amefanaya ziara Uturuki baada ya kualikwa na rais Erdoğan.
Ziara ya waziri mkuu wa Uturuki imechukuwa muda wa siku mbili.

Tsipras alishirikiana na msemaji wa ikulu Ibrahim Kalın mjini Istanbul.
Kabla ya kuondoka nchini Uturuki, Tsipras alikutana na muakilishi wa jamii ya wagiriki nchini Uturuki.Habari Zinazohusiana