Kikosi cha kutoa huduma ya kwanza Palestina chapigwa jeshi la Israel Ukingo wa Magharibi

Wafanyakazi katika kikosi cha kutoa huduma ya kwanza Ukingo wa Magharibi wazuiliwa na jeshi la Israel kuwokoa majeruhi waliokuwa wakiandamana katika chuo kikuu cha Birzeit.