Uchambuzi wa Matukio

Uchambuzi wa Matukio

Uchambuzi wa Matukio

Kama ilivyokuwa kinyume katika matukio ya Tchekoslovakia, Sudani na kusini mwake, katika mipaka ya mataifa kumeonekana kuwa na mfutano pia ambao ulipekelekea baadhi ya mataifa kujigawa na kujştenga. Jambo la kusikitisha ni kuona kuwa umoja umesabaratishwa kutokana na mapigano na uhasama kukita miziz.

Watafiti na wataalamu  kama Yazar Erdal ŞİMŞEK wanasema kuwa hakua haja kutazama kinachosemwa bali kinachotokea.

Mfumo wa mataifa umetumika kwa muda mrefu katika historia  ikiwa katika ulimwengu wa magharibi katika karne ya 16.

Katika  mabaki ya historia, mabaki hayo yanaonesha kuwa  waturuki na wachina walikuwa tayari na mfumoı wa taifa na mpangilia katika uongozi.

Katika historia tunaona kuwa hakuna  pahali ambapo panaonesha kuwa  Magharibi ilikuwa na mfumo huo kabla ya wakati wa kali ambao unatambulika na wanahistoria  .

Ulimwenguni katika wakati huo wa kale utawala ulikuwa ukiendana na eneo ambalo watu walikuwa wakimiliki. Na taifa lilikuwa likiashiriwa na eneo ambalo jamii flan ilikuwa ikimiliki.

Kwa mara ya kwanza, katika karne ya 15 Ulaya kuliundwa taifa na mfumo.

Katika karne hiyo, Italia  taifa eidhe mfumo wa uongozi ulitambulishwa kama  kama mfumo wa kisiasa katika jamii . baada ya Italia kupoke mfumo huo miaka mingi iliopita baadhi ya  maeneo barani Ulaya yalianza kufuata mfumo huo.

Kuanzia karne ya 15 hadi karne ya 20 , ulimwengu wa Magharibi  ulianza mfumo wa uongozi wa kisiasa kama taifa.

Mashariki mwa Magharibi  kulikuwa kukisubiriwa   utawala wa kidola na mipaka kuwa katika harakati za kukatwa kwake.

Katika mfumo uliowekwa na Magharibi  ulileta ndoto ambazo hazikutimizwa kutoka n ana ubaya wa mfumo huo ambao ulikuwa ukimwaga damu na kuwa mfumo wa kibabe.

Katika nyaraka za uandishi na nyaraka za kisiasa kulionekana kuwa na mambo yaliongezwa  kuhusu historia ya Ulaya na Magharibi kwa ujumla.

Katika mifumo yote ambayo ilikuwa na mtazamo wa nyakati z

Jazo  kama   Fukuyama kuelekea  Brejinski na  Soros katika mipaka damu huwa ukimwagika.

Mipaka iliokuwepo  ilihabiwa kutokana na umwagaji wa damu. Baada ya hapo mipaka mipya  ilikatwa  kama ilivyokuwa ada kwa kumwagika kwa damu, Mipaka ya wakati ujao katika  siasa ya Magharibi iliongezeka kwa damu. Mipaka ilitakiwa  kutambulika na kukatwa chini ya misingi yakijeografia na utamaduni  na ushirikiano na utofauti wa kisiasa.

Hali ya Magharibi katika kipindi hicho ilikuwa yenye kutisha kupita kiasi kama  ilivokuwa  katika  nyaraka  za kisiasa za siasa katika nyakati zijazo.

Katika utamaduni wa kirumi na imani, binadamu hutazamwa  katika  nyaraka ambazo  zilikuwa zikitoa matumaini.

Kama walivyokuwa askari  waliokuwa wakitoa  ulinzi ulikuwa wakichukuwa uamuzi kwa taifa na wakati ujao.

Yevgeny Zamyatin, Hugh Howey“Silo”, Paolo Bacigalup ya  “set up girl ”,  George Orwell, “1984” na  “mbuga ”, “Fahrenheit 451” na  Aldous Huxley  Bradbury na Brave New  katika  hadithi zinazosimuliwa katika  vitabu hivyo  ni hadithi za giza.

Katika maandishi  ya wakati ujao uliojaa giza ubinadamu  ulibailishwa  na kuwa  ngozi ya kondaa katika muili wa chui ilikuwa katili kupita kiasi.

Kila ambacho kilikuwa na ulama moja kwa wafanyakazi  katika mashirika  na kuchukua uamuzi  ulimwenguni  kilitoa  mfumo mpya wa uandishi na siasa.

 

Katika mfumo wa demokrasia na  uwepo wa jamii ni kiasi gani cha mifumo ya kisiasa ambayyo huweza kupelekea  jamii kubalisha mtazamo, uongozi pia  kuchukua mikakati mipya ya uongozi wa kisiasa kwa  raia.  Raia huchukuliwa kwa muda  baada yake  na kuwa chini ya dhamira kwa kuwa hapo awali ilikuwa  kama kizuizi.  Mfano hao katika hiloulikuwa nchini Marekani.

 

Rais wa Marekani Donald Trump  alisema wakatia wa kam-peni za uchaguzi kuwa Obama  angeacha siasa za kibabe na umwagaji damu kwa kusema kuwa  tutaanizshi mfumo wa kisiasa ambao utakuwa ukijishuhulisha na Marekani na masuala yake ndani pekee.  Trump alisema kuwa gharama za kijeshi na kambi za Marekani  kupunguzwa ulimwenguni.

Trump hakuridhika na hilo na kufikia haidi kuandika katika ukurasa wake wa Twitter akisem akuwa kundi la kigaidi la  wanamgambo wa Daesh  kuwa wameundwa na uongozi wa Obama  na baade kuondao ujumbe huo.

Trump aliğpoingia katika uongozi hatua kwa hatua ameonekana  kushawishika kwa kiasi kikubwa na mfumo wa siasa zilizoachwa na utawala uliopita.

Trump ameonkana kuvuka mipaka  na kumshinda Obama katika utawala wake  kwa kile aliichokifanya katika eneo la Ghuba. Eneo la Ghuba ya Uajemi limekuwa hifadhi ya silaha. Hakuweza kuondoa siasa zilizoachwa na uatwala uliopita ulioachwa na Obama dhidi ya Venezuela.

Venezuela kama ilivyo Uturuki haikuweza kufuata matakwa ya Marekani na kulazimishwa kufuata mipaka iliowekwaç

Hali hiyo ya kupamabana Venezuela Amerika KUsini  imeonr-ekna kufuata utamaduni wa mashariki kwa binadamu. Mataifa hayo au  utamaduni huo haukukubali  kufuata kile ambacho kimelazimishwa na mifumo ya Marekani kwa namna  tofauti.

Rıza Zarrab akizungumzia kuhusu  vyombo ambavyo vimeundwa  kisiasa  dhidi ya sisa za Uturuki havina  ushahidi wowote .

Kutoka na mambo hayo  mapamnao makali ya  kuzuia Syria au Mashariki ya kati kuwekewa mipaka mipya ni wajibu kusimama kidete.Habari Zinazohusiana