Uturuki na Mtazamo wa Mashariki ya Kati

Uturuki na Mtazamo wa Mashariki ya Kati

Uturuki na Mtazamo wa Mashariki ya Kati

Mnamo Januria 29 hadi januari 30 mwak a 2018  wajumbe zaidi ya 393  na wawakilishi 50 walishirikia katika mkutano  ulioandaliwa  kuhusu Syria. Mkutano huo kuhusu amnai ya kudumu nchini Syria ulaindaliwa mjini Sochi nchini Ursui.

Mwanzoni mwa mkutano kunatambulika kuwa mkutano hauwezi kuandliwa bila ya kuwa na tatizo linaloitaji ufumbuzi.  Kitendo cha kuonekana kwa viashirio vya kundi a mbalo linatambulika au nileorodheshwa miongoni mwa makundi ya kigaidi Syria katika uwanja wa ndege Sochi  kitendo hicho kilizua utata.

Viashirio hivyo vilikuwa vikionesha ushirikiano uliopo bain aya kundi hilo la serikali ya Assad. Bendera za Assad na baadhi ya viashirio vilionekana kupinga operesheni ya tawi la mzaituni.

Tume kutoka Uturuki ilirejea mjini Ankara kabla ya mkutano huo kuanza. Uwepo wa bendera hizo umeosha kuwa hakuna haja ya kutatua mzozo uliopo.

Wapinzani wa serikali ya Assad  unawakilishwa na Uturuki.  Tume ya uwakilishi ya upinzani ilifahamishakuwa Urusi  ilisitisha mashambulizi na huku  hadi zilizotolewa zikiwa haziheshimiki  alifahamisha kiongozi wa mpito Ahmet Toma.

Baadhi ya wapinzani walikuwa wakijaribu kuingia katika mkutano wa Sochi kuhusu Syria wakiwa na bandera za mapinduzi za Syria na kuzuiliwa na Urusi.

Katika tukio hilo hata waziri wa mambo ya nje wa Urusi Serguey Lavrov  alizuiliwa kwa kiasi fulani kuanza hotuba yake  kwa kurushiwa maneno kama ndege zenu zinatushambulia.

Wafuasi wa Assad walituhumu Urusi. Urusi ilifahamisha kuwa ndege zake zinashambulia magaidi na kuunga mkono Serikali ya Syria.

Mihraç Ural ambae anajitambulisha kama Ali Kayalı au Ali Keyyali ambae ni gaidi  ameonekana Sochi kwa lengo la kutaka kushiriki katika mkutano.

Uturuki inamtambua mtu huyo kama gaidi kwa matendo yake katika ardhi ya Uturuki ambayo ni matendo ya uhalifu.

Licha ya kutokea hali hiyo ambayo haikuridhisha, mkutano kuhusu amani ya kudumu Syria ulianza . Kulichukuliwa atua ambazo ziliruhusu mkutano kufanyika.

Mkutano huo ulifanyika  na kufikiwa kunako  malengo  kwa atua kama ilivyotarajiwa.  Baada ya kutano tamko la pamoja lilitolewa ambalo lilisema kuwa  ardhi ya Syria ni ardhi ya wasyria na itabaki kuwa huru.

Uundwaji wa kamati y aya katibu, jeshi la Syria, kulindwa na kuimarisha usalama katika mipaka ya Syria, makundi ya kigeni na mapambano dhidi ya ugaidi, utofauti ua imani na madhehebu, jamii na makabila  kwa ushirikiano ni masuala ambayo yanatakiwa  kupewa kipaumbele na kujaribu kuandaa chaguzi    na maisha ya baadae.

Hali ya mzunguko ni uamuzi wa kamati ya kikatiba. Mtafaruku wote huo ulitarajiwa kupatiwa ufumbuzi na kazi yak amati ya katiba.

Ili kufaanikisha kamati ya mabadiliko  ya katibu ni kushirikina kwa kiasi kikubwa na  tume ya upinzani na kuheshimu  mchango wa Umoja wa Mataifa kulingana na kipengele chake nambari 2254.

Umoja wa Mataifa umepewa  waibu wa kusimamia mazungumzo ya Geneva kuhusu amani ya kudumu Syria.  Matifa matatu ni muhimu katika  kusimamia na kuhakisha kufaanikisha mazungumzo.

Mjumbe maalumu kutoka kwa rais wa Urusi

Aleksandir Lavrentyer amesema kuwa yalioafikiwa katika mkutano wa Sochi  ni wazi kuwa  ni matokeo ambayo  yanaweza kutumiwa  ili kuimarisha mazungumzo ya Geneva na Umoja wa Mataifa  kuhusu Syria.

 mataşfa matatu  yalisimamia mazungumzo ya Syria yatafikisha orodha ya  watu 150  Umoja wa Mataifa na uongozi wa Staffan de Mistura.

Mistura ataunda  kundi la watu 45 hadi 50 ili kufaanikisha mazungumzo na maafikiano.  kundi hilo litakuwa kama  tume ya  Uturuki, Urusi na Iran. Mkutnao wa Sochi haukuuonesha matokeo kama ilivyotarajiwa.  Mkutano wa Sochi unatoa fursa kwa mkutano wa Geneva.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 


Tagi: Syria , Urusi , Sochi , Uturuki

Habari Zinazohusiana