Miradi katika sekta ya ulinzi Uturuki

tathmini ya Meneja waUmoja wa Biashara wa Harb-İş ,Tarkan Zengin

Miradi katika sekta ya ulinzi Uturuki

Sekta ya ulinzi ya kitaifa na ya awali ya kuzalisha ndege zisizokuwa na rubani inaifanya Uturuki kuingia katika orodha ya nchi chache zenye teknolojia hiyo.

Tunatoa tathmini ya Meneja waUmoja wa Biashara wa Harb-İş ,Tarkan Zengin juu ya suala hilo ...

Uturuki inasonga mbele katika kuionyesha dunia bidhaa zake muhimu na kuingia katika mashindano ya kimataifa.Hatua hiyo imeionyesha Uturuki kuwa na ujasiri katika kuhifadhi rasiliamali ndani na nje na nchi.

Uturuki hutoa mchango muhimu katika uchumi kutokana na bidhaa hizo kununua na kufanya sera huru katika suala hilo. Kuzalishwa kwa ndege hizo zisizokuwa na rubani kunasaidia pia katika kuhakikisha kuwa Uturuki sio nchi tegemezi.
Uturuki ilianza kufunguka kutumia teknolojia ya ndege hizo zisizokuwa na rubani mwaka 1990 kwa mfano wa Heron za Israel zilizokuwa zikitengenezwa Marekani.Ilianza mkakati wa kuzitengeneza mwaka 2000.
Sasa ndege hizo zinatengenezwa na kutumika nchini humo.
Mkakati wa mradi kama huo wa UAV na SOS unahitaji kupangiliwa kwa umakini na kutumia muda mrefu ambao si chini ya miaka kumi.


Tunashukuru kuwa UAV zinazozalishwa katika sekta ya ulinzi (Unmanned Aerial Vehicle ) na SOS (kutoka katika Jeshi ) zinairuhusu Uturuki kuwa miongoni mwa nchi chache duniani kufanya hivyo.Uturuki ina ufanisi wa kutumia teknolojia katika rasilimali za taifa.

Tulivyoipata fursa tumeshuhudia vile vijana wetu wanavyofanya. Ulinzi ni sekta ambayo inaweza kufikia matokeo yanayohitajika kwa kuweka juhudi za kudumu na malengo ya muda mrefu. Mafanikio makubwa ambayo tumefanikiwa katika miaka 10 iliyopita katika sekta ya HRA ya kitaifa na FHA leo ni matokeo ya kutekeleza malengo ya muda mrefu ya kimkakati.

Kwa pamoja kulikuwa na uweza  kwa wakati mmoja kuchukua picha moja kwa moja katika matukio au katika uchunguzi kwa kutumia vifaa vya kisasa katika ndege zisizokuwa na rubani ambazo zinafahamka kama İHA. 

Hali hiyo ineonesja kuwa kumepigwa hatua ambayo inastahili pongezi katika sekta ya ulinzi Uturuki. Hakuna mabadiliko kama hayo kwa muda mfupi katika  sekta hiyo katika taifa lolote.  

Matumizi ya  kifaa hicho katika  sekta ya ulinzi yameoneka kuwa na faida baada ya  kuendeshwa kwa operesheni ya tawi la Mzaituni iliofanyika nchini Syria kwa lengo la kuwaondoa magaidi  katika jimbo la Afrin.

Majaribio lameonesha  mafaanikio na jeshi la Uturuki  kuwa miongoni mwa  vikosi vya jeshi ambavyo  vinaweza kujigamba kwa teknolojia hiyo.

Jeshi la Uturuki limejikwamua kutoka katika changamoto ambazo zilikuwa zikiikabili Uturuki  ikiwa pamoja na operesheni ya Efratia  ambayo ilifanyika na baade kuanza kwa operesheni nyingine ambayo nayo pia malengo yake ilikuwa kukabiliana na makundi ya magaidi katika mipaka ya Uturuki.

BAYRAKTAR ndogo   İHA na BAYRAKTAR ya  İHA

Mwaka  2007 shirika ambalo linahusika na uundaji wa mfuumo wa vipandwa vya angani vya kitaifa Mini  İHA  liliwasilisha  bidhaa zake  kwa jeshi la Uturuki.

Shirika hilo  lilifahamisha na kuzungumzia  mabadiliko  ya kisasa katika bidhaa zake mpya za ndege zisizokuwa na rubani:  Bayraktar Mini İHA ina mfumo ambao ni wa kipekee wa kielektroniki wa kisasa ambao unatumiwa katika  mfumo wa kwanza wa  mini-system ya ndege  zisizokuwa na rubani Uturuki. Mfumo huo unaweza  kuiruhusu ndege kufanya harakati zake wakati wotote   hata kama mabadilko ya hali ya hewa yatakuwa yameonekana kuwa na uhatari au  kuharibu  mawasiliano.

Zaidi ya mara 100 000 imejaribu na kuonekana kuwa ina uwezo wa kuendesha operesheni. Katika  ambali  mkubwa mfumo huo wa İHA  , mfumo wake upo imara kukabiliana na hali yeyote  na kuongoza na teknolojia ya kisasa katika mştambo  ambayo inakuwa katika chombo cha  uongozi.

Uongozi huo unafuatia harakati zake angani tangu inapoanza  safari na wakati wake wa operesheni hadi pia wakati i naporudi katika kituo cheke baada ya kumaliza operesheni  yake.

Mşfumo mitatu ambayo  inahusika na kuongoza , kunavyombo ambavyo vimewekwa  kwa kuendesha opereshei hizo, kuna vyombo ambavyo  vinahusika na uchunguzi na kulinda usalama kwa teknolojşa ya kisasa. Majaribio yake yalifanyika  kati ya Septemba na Oktoba mwaka 2009 na kuonesha mafaanikio. Ni hatua kubwa katika  ulinzi wa Uturuki.

NGUVU NA UMAHIRI WAKE KATIKA OPERESHENI ZA KIJESHI

Vifaa hivyo vimeonesha mafaanikia katika harakati za kupambana na ugaidi katika operesheni zilizoendeshwa na jeshi la Uturuki ndani na nje ya mipaka yake, vifaa hivyo vimeonesha kuwa ulinzi , jeshi la Uturuki kwas asa linaendelea kuimarika. Vyombo hivyo vya kisasa vinatoa mchango mkubwa. Bayraktar TB2 İHA zimetumiwa katika operesheni za kupambana na magaidi  zilizoendeshwa tangu mwaka 2015. 

Ndege hizo  katika operesheni  zina uwezo wa kunasa picha katika umbali  huku sauti likiwa  bado linafanyika utafiti. Ulinzi na uchunguzi kabla na wakati wa operesheni ndege hizo zilikuwa zikitumiwa kwa kutoa taarifa. Operesheni ya Efratia  na operesheni ya Tawi la Mzaituni kulishuhudiwa uwezo vya vyombo hivyo  vipya katika idara ya ulinzi ya Uturuki. Bayraktar TB2  ilitumiwa kwa kufichua  ngome za magaidi  na kutoa taarifa kwa jeshi ili kuendesha operesheni.

İHA ilipelekea kugunduliwa kwa  maficho, mahandaki   ambayo yalikuwa yakitumiwa na magaidi wakati wa mashambulizi. Magaidi walikuwa wakitumia ngome zao kuhidhi silaha na mashicho pindi wanapoelemewa. Katika operesheni ya Tawi la Mzaituni, magaidi wengi waliangamizwa  baada ya kunaswa picha na ndege zisizokuwa na rubani İHA.

 

 

 Habari Zinazohusiana