Swali la mwezi

Swali la mwezi

Swali la mwezi

Swali la mwezi

Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa mwaka huu umefanyika kwa mara ya ngapi?

a)83

b)73

c)90

Watu watatu wa kwanza watakao jibu vema watapewa zawadi nono kutoka katika maktaba za Sauti ya Uturuki. Tunapokea majibu yenu hadi Oktoba 30.

Tutumie jibu lako kupitia barua pepe  swahili@trt.net.tr au  kupitia sanduku letu la posta

Sauti ya Uturuki Idhaa  ya Kiswahili : BP 333, 06443 YENİŞEHİR, ANKARA, Turkey.Habari Zinazohusiana